Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Si Ume ibukia wasafiNmefanyaje mkulima?
Mkuu usi nilishe manenoKwamba Mahondaw ndio Depal??
Nataka nikuambie kitu wewe dada sijui baba unachotakiwa kujua wewe hunimiliki mimi na hiyo depression yako tafuta sehem nyingine ya kuipeleka sawaIkitokea nimefanya hiyo blunder. Nitajiona nimezeeka mnoo nitasign out jumla. Lkn huchomoki
Aje akwambie nime mchoka total ๐๐Kawaje kwani daughter wangu?
Uelekeo wa hii argumement sio afya, muanzisha mada VAR inahitajika.Nataka nikuambie kitu wewe dada sijui baba unachotakiwa kujua wewe hunimiliki mimi na hiyo depression yako tafuta sehem nyingine ya kuipeleka sawa
Kitu siwezi ni kukusujudia wewe hata ukija umevaa nini umenielewa?
Ulianzia PM nikakuvumilia sio kwamba mimi ni mpuuzi sawa au sijitambui !
Mtafute huyo una share nae bwana huko kwenye hiyo I'd unayosema acha upumbavu wa kunihusisha na mambo ambayo sijui ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Narudia tena mimi sio huyo unaemtafuta ๐
Unachotakiwa kujua tunaishi mala moja acha upuuzi wa kunitishia maisha nikifa mimi nitakua mbolea mimea itastawi funza watanenepa
Na kama unajiamini funguka acha taarabu๐ค
Jesus๐๐ kumbe kuna mambo eeehNataka nikuambie kitu wewe dada sijui baba unachotakiwa kujua wewe hunimiliki mimi na hiyo depression yako tafuta sehem nyingine ya kuipeleka sawa
Kitu siwezi ni kukusujudia wewe hata ukija umevaa nini umenielewa?
Ulianzia PM nikakuvumilia sio kwamba mimi ni mpuuzi sawa au sijitambui !
Mtafute huyo una share nae bwana huko kwenye hiyo I'd unayosema acha upumbavu wa kunihusisha na mambo ambayo sijui ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Narudia tena mimi sio huyo unaemtafuta ๐
Unachotakiwa kujua tunaishi mala moja acha upuuzi wa kunitishia maisha nikifa mimi nitakua mbolea mimea itastawi funza watanenepa
Na kama unajiamini funguka acha taarabu๐ค
kwa kweli,, wasuluhishwe tu jamniUelekeo wa hii argumement sio afya, muanzisha mada VAR inahitajika.
Nachoka mjukuu wangu๐Jesus๐๐ kumbe kuna mambo eeeh
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Amefufuka kweli kweli.Nataka nikuambie kitu wewe dada sijui baba unachotakiwa kujua wewe hunimiliki mimi na hiyo depression yako tafuta sehem nyingine ya kuipeleka sawa
Kitu siwezi ni kukusujudia wewe hata ukija umevaa nini umenielewa?
Ulianzia PM nikakuvumilia sio kwamba mimi ni mpuuzi sawa au sijitambui !
Mtafute huyo una share nae bwana huko kwenye hiyo I'd unayosema acha upumbavu wa kunihusisha na mambo ambayo sijui ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Narudia tena mimi sio huyo unaemtafuta ๐
Unachotakiwa kujua tunaishi mala moja acha upuuzi wa kunitishia maisha nikifa mimi nitakua mbolea mimea itastawi funza watanenepa
Na kama unajiamini funguka acha taarabu๐ค
usichoke ndo ukubwaNachoka mjukuu wangu๐
Twende PM nikakupe mawaidha hii sio sawa hakyanani ๐คNachoka mjukuu wangu๐
Hili baado sijapona we tena kuyazua ๐๐Twende PM nikakupe mawaidha hii sio sawa hakyanani ๐ค
Umekataa ushauri, shauri yako. Mkataa pema...Hili baado sijapona we tena kuyazua ๐๐
Toka aa ๐๐Umekataa ushauri, shauri yako. Mkataa pema...
๐คฃ
Nah ๐Ma2C?
Hee doutaโ what happened here? Umebeba bwana gani tena na husemi๐ซขNataka nikuambie kitu wewe dada sijui baba unachotakiwa kujua wewe hunimiliki mimi na hiyo depression yako tafuta sehem nyingine ya kuipeleka sawa
Kitu siwezi ni kukusujudia wewe hata ukija umevaa nini umenielewa?
Ulianzia PM nikakuvumilia sio kwamba mimi ni mpuuzi sawa au sijitambui !
Mtafute huyo una share nae bwana huko kwenye hiyo I'd unayosema acha upumbavu wa kunihusisha na mambo ambayo sijui ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Narudia tena mimi sio huyo unaemtafuta ๐
Unachotakiwa kujua tunaishi mala moja acha upuuzi wa kunitishia maisha nikifa mimi nitakua mbolea mimea itastawi funza watanenepa
Na kama unajiamini funguka acha taarabu๐ค
Mie hata sijui mmenilea vibayaHee doutaโ what happened here? Umebeba bwana gani tena na husemi๐ซข
Kwa kweli vita za humu sio mchezo, Kuna wakati vijana huwa wanahisi eti tunawakagua wajukuu zetuwew umeshuhudia zama zote babu yangu,, umesingiziwa na kusuruhisha mambo humu JF,, nitawaandalia majoho yenu wew na babu Grahams maan bado mpo gado na hamtaki kubadili i'd ๐ค๐๐