Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Mungu nijaalie demu mpenda pesa kila siku nitamani kuwa Bakhresa.....

Asinipende mimi apende Verosa wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa....

Ukiwa na Demu anayependa vidogo....
Huwezi kuwa tajiri wa kumshinda kigogo....

Yani niwe na Demu ambaye anamsifia Boss wangu...
Ili nipate Uchungu nami nijenge kiwanda changu....

Sitaki demu wa kitanga Jioni moja kanga tayari amejipanga Kwa mabusu mangapi...
Dem ninayemtaka Manka wa kichaga Jioni anaulizaga Umeingiza shingapi........

😅😅😅😅😅😅😅
Hizo channels za kuingiza pesa ya kumfanya Manka atulie ndio mzozo mangiii. Halafu akishakuwa wa kupenda mali kuliko utu, hata uzitafute uwe kama Bakhressa, utachapiwa tu.
 
Lunch time
f743521c-c5bb-477d-9a64-1a768a9947e0.jpeg
 
Back
Top Bottom