😅😅😅 mimi naogopa mpka kujibu walio reply 😁 sema uzuri mmoja wanajua tu huyu alikua kalewa😄Kina siku niliandika mada usiku nikiwa njwiii kuamka asubuhi nikaikimbiaView attachment 3568205
Nilitia vituHahahaha🤣
Mungu nijaalie demu mpenda pesa kila siku nitamani kuwa Bakhresa.....
Kwahiyo hapa bado umelewa au una hangover?Mungu nijaalie demu mpenda pesa kila siku nitamani kuwa Bakhresa.....
Asinipende mimi apende Verosa wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa....
Ukiwa na Demu anayependa vidogo....
Huwezi kuwa tajiri wa kumshinda kigogo....
Yani niwe na Demu ambaye anamsifia Boss wangu...
Ili nipate Uchungu nami nijenge kiwanda changu....
Sitaki demu wa kitanga Jioni moja kanga tayari amejipanga Kwa mabusu mangapi...
Dem ninayemtaka Manka wa kichaga Jioni anaulizaga Umeingiza shingapi........
😅😅😅😅😅😅😅
Ukiwa fala unanyooshwa humu😅Hutaki stress!
Ukienda kichwakichwa!
Mno ,nikiwa nimelewa kichwa inazunguka mabilioni tu😄We ni tajiri mkubwa sana ukilewa! Pombe haifanganyi aisee, mahakamani mlevi na mtoto wanaaminika sana!
*Yani niwe na Demu ambaye anamsifia Boss wangu...Mungu nijaalie demu mpenda pesa kila siku nitamani kuwa Bakhresa.....
Asinipende mimi apende Verosa wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa....
Ukiwa na Demu anayependa vidogo....
Huwezi kuwa tajiri wa kumshinda kigogo....
Yani niwe na Demu ambaye anamsifia Boss wangu...
Ili nipate Uchungu nami nijenge kiwanda changu....
Sitaki demu wa kitanga Jioni moja kanga tayari amejipanga Kwa mabusu mangapi...
Dem ninayemtaka Manka wa kichaga Jioni anaulizaga Umeingiza shingapi........
😅😅😅😅😅😅😅
Mno bwashee*Yani niwe na Demu ambaye anamsifia Boss wangu...
Ili nipate Uchungu nami nijenge kiwanda changu.*😂
Darling mom hii imekaaje 😁Ukiwa fala unanyooshwa humu😅
Huu wimbo Nilikuwa naukubali kinoma na. Kuuimba kabisa ila tokea muimbaji yamkute mazito si upendi naona kama na mimi yatanikutaMungu nijaalie demu mpenda pesa kila siku nitamani kuwa Bakhresa.....