min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hahahha chagua humu humu bwashee na ndoto za kupata mke humu😅Ngoja nikuchagulie mmoja
Hahahha chagua humu humu bwashee na ndoto za kupata mke humu😅Ngoja nikuchagulie mmoja
Pole sanaHuu wimbo Nilikuwa naukubali kinoma na. Kuuimba kabisa ila tokea muimbaji yamkute mazito si upendi naona kama na mimi yatanikuta
Hahaha hivi mwamba demu wake alikua manka kwani?Huu wimbo Nilikuwa naukubali kinoma na. Kuuimba kabisa ila tokea muimbaji yamkute mazito si upendi naona kama na mimi yatanikuta
Familia yanguUkiwa fala unanyooshwa humu😅
Me bado yajanikuta na naomba yasinikutePole sana
Yule sijui kabila gani maana anashambulia kama mu Iran 😂Hahaha hivi mwamba demu wake alikua manka kwani?
seran unanyooshwa kivipi mama?Ukiwa fala unanyooshwa humu😅
Kijana yakikukuta usilie chukulia tu ni challengeMe bado yajanikuta na naomba yasinikute
Ila acha nipokee pole kwa niaba ya muimbaji 🥺😅
Kwa lile Tako sioni kama ni manka bwasheeYule sijui kabila gani maana anashambulia kama mu Iran 😂
Awe na weusi mzuri halafu msukuma bwashee 😃Nipe vigezo chap!
Tatizo “hujui basi “ ila ningekuchagua wewe uwe unanipa motivation 😁Kijana yakikukuta usilie chukulia tu ni challenge
Mhimu uwe na mtu wa kuku motivet kutafuta hela kama hivyo akuombe sana helaaa👍
Poleee sitaweza nipo in love pahala🥰😁🏃♂️Tatizo “hujui basi “ ila ningekuchagua wewe uwe unanipa motivation 😁
Ka hata najua nilikaona selfika 😄Tatizo “hujui basi “ ila ningekuchagua wewe uwe unanipa motivation 😁
Mkiachana utanibeep 😁Poleee sitaweza nipo in love pahala🥰😁🏃♂️
Kumbe kule selfika huwa mnaonana inabidi na mimi nianze kupita pita kule 😅Ka hata najua nilikaona selfika 😄
Hatuachani ng'oooMkiachana utanibeep 😁
Bwashee kwani sisi ni mizimu tusionane😃 unakosa vingi sanaKumbe kule selfika huwa mnaonana inabidi na mimi nianze kupita pita kule 😅