Vizazi vya JF
JF ya JK
First half kuzaliwa na kukua
Second half.. Bata, shangwe za kila aina.. Chitchat ilibamba sana..
Uhuru wa mijadala ya siasa, minyukano. Viongozi wengi walitokea huku
JF ya JMP
Chitchat ikaanza kupoa
Siasa zikawa za machale.. Mada zinaandikwa kwa codes sana
Mapambano ya uhuru wa habari yalianzia hapa
Intelligence ilikamata chat
Celebrities na MMU pia
JF ya SSH
First half
Mashingilio lakini na sintofahamu nyingi..
Mapambano ya demokrasia
Second half
Vitasa kama vyote
Kaburi la celebrity
Forum kupoa sana😭