Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliwakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like

Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?๐Ÿ˜‚
Nani ni nani kwenye nini?

Wataje/Mtaje ama
Was like/Mualike..๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ฅ
Hata zile couple mpya pia๐Ÿ’•View attachment 3568009
Kizazi na toleo jipya la chawa limeibuka na kumuibua chawa konki Lucas Mwashambwa
 
JF haijabadirika kwa malengo yake. Kinachobadirika na teknolojia, watu pia hubadirika, hali za kisiasa, kijamii zinabadirika pia.

JF inahitaji ubunifu zaidi iendane na hali halisi kila uchao, hii ni "Consumer Product" lazima iendelee kuwa na ubunifu hasa ukizingatia technolojia ya habari inakuwa kila siku. Angalia Facebook, kila uchao wanabuni hiki mara kile, wangezubaa FB ingeweza wafia. Maana zinazaliwa social platforms kila uchao na zinashika watu.
Mfano hizi forums za Zimbabwe, Kenya, Uganda, JF wanatakiwa wazifanyie kazi zianze kufanya kazi. Mitaji ya hii mitandao ni watu wanaoitumia. Watu wengi, ndio ubora na mapato ya platforms.
Ule ubunifu wa mashindano, kuiunga JF na platforms zungine kushare habari, ufichuzi wa uovu, fact check ulikuwa mzuri na umeisaidia sana JF kuenda na kasi ya ukuuaji.
Ubunifu uendelee, JF itabaki kuwa relevance kwa miaka mingi.

Ndani ya mada: Mimi naona min -me, Seran leo dada wanafanya vizuri. Hapo nyuma kulikuwa na Joseverest ila naona kapotea.
 
Inawezekana johnthebaptist kafa๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ˜ญ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
 
Back
Top Bottom