ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hivi hujui huyo ni baba angu kwahiyo unaamini kuna mzazi atakupa binti yake kihilela hivyo😂😂Kazi yake ameimaliza kilichobakia ni mimi kupambania tu
We endelea kutokujua 😂
Huyo anakujaza ana jua mimi sijihusishi na mapenzi we haya usiseme hukuambiwa