Mimi ni fisi?Mimi mke wa mtu mzee😆
Hao ndio ninaowataka! Nina siku sijamuhamishia mtu stress zangu😎tulia hapa utapofuka macho😂
Hahahaa. Hapana.Unataka kumvuta alie mbali?
We una wake zako wa kutosha humu, mimi sihitaji kuwa ndani ya kundi la wake zako🤣Mimi ni fisi?
Uchagani tukiwa watoto tulikua tunashindana nan mwenye sungura nyingiwewe noma mkuu umejua kutofautisha nataka nifuge kabisa sungura ,ni kweli kuku na sungura ladha zinakaribiana nasikia kama hujaambiwa ukaletewa utasema tu ni kuku😂😂
kondoo anaombewa tu hakuna hisia hata akija na nguo fupi maombi ni kufunga macho usione maana maandikoyanasemaBa mchungaji mla kondoo sio
Humu sina mke yeyote, naapa kwa jina la yesu mama nani🥲We una wake zako wa kutosha humu, mimi sihitaji kuwa ndani ya kundi la wake zako🤣
dah kumbe ndugu yangu mchaga mwenzangu basi x mass mwaka huu tutakutana kwenye kuhesabiwa huku tukipiga mbegeUchagani tukiwa watoto tulikua tunashindana nan mwenye sungura nyingi
Hahaha kumbe unatuchora kuuliza sunguradah kumbe ndugu yangu mchaga mwenzangu basi x mass mwaka huu tutakutana kwenye kuhesabiwa huku tukipiga mbege
hilo jukwa la wakubwa walikuja kulitoa connection zote zilikua mule demi na Evelyn Salt walikua wanalichangamsha sana hilo jukwaa,melo alikija kulitoa maana lilikua ni hatari kipindi hicho dahNikikumbuka zamani jukwaa la wakubwa na mizagamuano ya wanna jf mwisho wa siku wanakuja kutoleana uvivu humu aisee natamani siku zirudi nyuma kipindi jf inajadiliwa bungeni!
sijawahi mla mkuu hakika ila nataka kufuga this time na niwale nibadili nyama ya kuku maana makuku siku hizi ya kisasa ni kibao mimi na kuku wa kisasa sitaki kabisaHahaha kumbe unatuchora kuuliza sungura
Hmm wacha nikae kimya😁kondoo anaombewa tu hakuna hisia hata akija na nguo fupi maombi ni kufunga macho usione maana maandikoyanasema
Mt 5:29
Jicho lako la kuume likikukosesha, ling’oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum
Unawavutia wageni sio, kama ulivyoeleza jana kuhusu container jipya😄Humu sina mke yeyote, naapa kwa jina la yesu mama nani🥲
kwahiyo ndoa hakuna 😂😂 na kamati imefutwaMimi mke wa mtu mzee😆
hebu acha basiHmm wacha nikae kimya😁
Sure upande wa maconection ya kipindi kile Evelyn Salt apewe maua yake💐💐 kwakweli memba wa chaputa wali enjoy sana.Kama sikosei Kuna kesi Moja ilikuja humu ya mke wa mtu ikapelekea ndoa kufa I think ndio chanzo Mello akatupoka haki yetu sababu ilifikia watu wanapiga picha na video halisi kabisa.hilo jukwa la wakubwa walikuja kulitoa connection zote zilikua mule demi na Evelyn Salt walikua wanalichangamsha sana hilo jukwaa,melo alikija kulitoa maana lilikua ni hatari kipindi hicho dah
mbaya zaidi wakikua ni wanaume kwa wanaume sinunajua matusi ya wanaume kwa wanaume yanhusisha ujinga wa hali ya juu haikua poa,hile sheria ya ban irudi tena nyie ingizo jipya mna mihemko mchezee ban kidogoHao ndio ninaowataka! Nina siku sijamuhamishia mtu stress zangu😎
Mambo ya pombe hayo , mpaka naogopa kuyasoma😁Unawavutia wageni sio, kama ulivyoeleza jana kuhusu container jipya😄