ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hawezi akiindelea lazima achanganyikiwe hilo na mhakikishia🏃♂️🏃♂️🏃♂️Huwezi kuelewa familia yetu ni blended mtumishi😁
Hawezi akiindelea lazima achanganyikiwe hilo na mhakikishia🏃♂️🏃♂️🏃♂️Huwezi kuelewa familia yetu ni blended mtumishi😁
utachanganyikiwa sana familia chotara hii😂😂Seran ni ndio really mom 🥰
Mshana really Dad😘
Ila sasa nina baba wa kambo huyo ndio aliepo kama hutaki basiii
Ila hawa wazazi wanahakikisha na changanyikiwa 🙌🙌🙌
nimewacha hata maombi siwaombei maana hata Mungu mnachanganyaHawezi akiindelea lazima achanganyikiwe hilo na mhakikishia🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Yaan kwakweli hapana some time naishiwa power lol 😆utachanganyikiwa sana familia chotara hii😂😂
Mbona unasusa jamani😢nimewacha hata maombi siwaombei maana hata Mungu mnachanganya
dah kama ulikuwepo zile zama basi tupewe ubalozi 😂😂😂Kumbu kumbu zako ziko sawa kama sikosei
mama yako anakuchanganya fanya jambo akuambe baba yako halisi ni naniMbona unasusa jamani😢
Shida nini mchungaji
ananionea huruma😁Naye inamuhusu nini wivu tu😏
Ninasubiri sadaka mtumishi..jibu ndiyo hilo kwisha umekua sample
🥰🥰Ninasubiri sadaka mtumishi..
Na hapo hatujawataja mama zako wadogo wote😅Hawezi akiindelea lazima achanganyikiwe hilo na mhakikishia🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Inawezekana ni wewe mtumishi wa bwana😀mama yako anakuchanganya fanya jambo akuambe baba yako halisi ni nani
Kuna watu wajinga walianza kutoa ya kule na kuyaleta hukuNikikumbuka zamani jukwaa la wakubwa na mizagamuano ya wanna jf mwisho wa siku wanakuja kutoleana uvivu humu aisee natamani siku zirudi nyuma kipindi jf inajadiliwa bungeni!
Hahahha ni pombe tu nisamehewe😭Leo utakoma! Ulikuwa unatukana wanawake wa humu hatuna pesa sjui wanaume wakatafute huko nje wanawake matajiri wanaoongelea billions of cash lols nakojoaaa🤣