Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
kuna watu pia waliingia kwenye mahusiano humu na picha wakaziachia kule kwneye jukwa la wakubwa 😂😂😂😂ilikua tafrani sijui ndiyo hiyo kesiSure upande wa maconection ya kipindi kile Evelyn Salt apewe maua yake💐💐 kwakweli memba wa chaputa wali enjoy sana.Kama sikosei Kuna kesi Moja ilikuja humu ya mke wa mtu ikapelekea ndoa kufa I think ndio chanzo Mello akatupoka haki yetu sababu ilifikia watu wanapiga picha na video halisi kabisa.