Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ukijichekesha tu imo 🤸🏽♀️Darling mom hii imekaaje 😁
Ukijichekesha tu imo 🤸🏽♀️Darling mom hii imekaaje 😁
Ila wewe mbona ina sound kama kadogo sana 😁Ka hata najua nilikaona selfika 😄
Mimi nawaza wapi ntaokota pesa nyingi sana🥲Mimi nikilewa nawaza ulozi tuuView attachment 3568210
Hakunaaaa😁😁😁 nimecheka huo msambaUkijichekesha tu imo 🤸🏽♀️
Daah kweli bwashee umenishtua nitaanza kuchangamka nikamuone na mimi Hata najua basi 😂Bwashee kwani sisi ni mizimu tusionane😃 unakosa vingi sana
Nikiwa mzee nataka kuwa kama wewe🥹Familia yangu
1. My pillow, my ❤beat the one and only Angel Nylon
2. Our lovely daughter Hata najua basi
3. Our lovely son soledad
Ka hata najua ni ka kido kapo mashavu tu bwasheeDaah kweli bwashee umenishtua nitaanza kuchangamka nikamuone na mimi Hata najua basi 😂
Kumbe mkuu ni baba mkwe kabisa 😅😀 tuliza komwe , kuachana ni ngumu
Umesoma tangu mwanzo? Ukisoma kuanzia juu utaelewaseran unanyooshwa kivipi mama?
Kwahiyo ametuna ila nitajikaza hivyo hivyo 🤣🤣🤣Ka hata najua ni ka kido kapo mashavu tu bwashee
Kazuri bwashee sema tu kadogoKwahiyo ametuna ila nitajikaza hivyo hivyo 🤣🤣🤣
Ohoo ni misamba tuuHakunaaaa😁😁😁 nimecheka huo msamba
Kwa heshima 🫡😀 tuliza komwe , kuachana ni ngumu
Bwashee kwenye kutathmini uzuri sikupingi 🙌🏾Kazuri bwashee sema tu kadogo
Anakujaza na wewe unajaa😂Bwashee kwenye kutathmini uzuri sikupingi 🙌🏾
Acha nijiongeze nizame Pm 😅
Kazi yake ameimaliza kilichobakia ni mimi kupambania tuAnakujaza na wewe unajaa😂
Hapana, naongea ukweli tuAnakujaza na wewe unajaa😂
Hahah halafu mtu akikusoma una sound kama m babe flani hivi😃Ohoo ni misamba tuu