Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Nilikaa mda sana bila kuifungua juzi tu ndio nimetest mtambo ukafunguka.
sijui hawa wako wapii Poor Brain dronedrake Evelyn Salt
Pembe za huyu ng'ombe ni dawa ya mapenzi, ukizipata ukapeleka kwa babu pamoja na picha ya umtakae....aseee ngoja niishie hapaKila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliwakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like
Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?๐
Nani ni nani kwenye nini?
Wataje/Mtaje ama
Was like/Mualike..๐ช๐ฟ๐ฅ
Hata zile couple mpya pia๐View attachment 3568009
Yes sir ๐๐๐New comer๐
we ni gz auSisi tuliojoin 2026 Tukae wapi?
Pembe za huyu ng'ombe ni dawa ya mapenzi, ukizitapa ukapeleka kwa babu pamoja na picha ya umtakae....aseee ngoja niishie hapa
Pembe za huyu ng'ombe ni dawa ya mapenzi, ukizitapa ukapeleka kwa babu pamoja na picha ya umtakae....aseee ngoja niishie hapa
Gz nini mkuuwe ni gz au
inafunguka vizuri kwa saivi ila telegram wamekomaaaKwamba mkuu mambo ya Vpn wewe ah ah
generesheni Z watoto wa 97- 2012Gz nini mkuu
๐๐๐generesheni Z watoto wa 97- 2012
mimi na naniliu ni couple mpya sema ndo vile hatutrendiโบ๏ธHata zile couple mpya pia๐
Ila gavoo bhninafunguka vizuri kwa saivi ila telegram wamekomaaa
Unauza eneo la familia na makaburi yake.....
Sema nipo kitambo kidogo toka 2023OK ngoja tufanye tambiko kidogoView attachment 3568041
Makapuku forums akina Bitoz na Jimena sio kipindi chako mkuu Mshana,hiki ni kipindi chetu sisi 2015 ndicho kipindi waanzilishi wa hizi nyuzi tulijiunga nao pamoja na tukawa tuna bifu sana na nyie wakongwe nakumbuka wewe ID yako ni ya 2012 au 2013..Kubwa zaidi enzi hizo wakongwe mlikuwa mnabagua sana mtu anaanzisha uzi nzuri anashusha nondo badala ya kuchangia kulingana na mada husika mnaitana mnakuja kuoiga story kwenye uzi wa watu..Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliwakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like
Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?๐
Nani ni nani kwenye nini?
Wataje/Mtaje ama
Was like/Mualike..๐ช๐ฟ๐ฅ
Hata zile couple mpya pia๐View attachment 3568009