Unataka kusema wazazi wako tuna kimav😱Mie hata sijui mmenilea vibaya
Nashangaa tu natupiwa zigo la mav'
Mchungaji miyeyusho ww
Wanatusinguzia kwamba tunawakagua wajukuu zetu, hivi inawezekane kweli mzee mwenzangu?🤭Kwa kweli vita za humu sio mchezo, Kuna wakati vijana huwa wanahisi eti tunawakagua wajukuu zetu
Basi sio kutupiga mawe babu zao 🤪
Mimi na Mzee mwenzangu ERoni tunasubiri hizo zawadi 🤗
Hata sina maana hiyo naona mie ndio nina kimav 😂Unataka kusema wazazi wako tuna kimav😱
Mchungaji please niombee
Na pia babu mjitahidi kuwa wa wazi mtutambulishe kwa mabibi zetu mapema kuepsha migongano🏃♂🏃♂️Wanatusinguzia kwamba tunawakagua wajukuu zetu, hivi inawezekane kweli mzee mwenzangu?🤭
Kwamba kunakuwaga na migongano?😅Na pia babu mjitahidi kuwa wa wazi mtutambulishe kwa mabibi zetu mapema kuepsha migongano🏃♂🏃♂️
Ona ulivyo mkavuu looohh!! 🏃🏽♀️Wanatusinguzia kwamba tunawakagua wajukuu zetu, hivi inawezekane kweli mzee mwenzangu?🤭
Ndio babu tukiwatania kama hivi labda bibi zetu wanaweza kuhisiKwamba kunakuwaga na migongano?😅
Wala wasiwasi wako tu.. humu ndani tunataniana na watu kwahiyo wawe huru tu jamoani, mi mtu asije kuniletea hizi habari, hatoipenda!WaqsHata sina maana hiyo naona mia ndio nina kimav 😂
Sijawahi kukagua mjukuu yoyote humu, wazee tunasingiziwa mengi. 😀Ona ulivyo mkavuu looohh!! 🏃🏽♀️
Mnatania eeee😁Ndio babu tukiwatania kama hivi labda bibi zetu wanaweza kuhisi
Tuna vuka mipaka
😂😂😂
Nimeshajua nilipotoa ujeuri😂😂Wala wasiwasi wako tu.. humu ndani tunataniana na watu kwahiyo wawe huru tu jamoani, mi mtu asije kuniletea hizi habari, hatoipenda!
Hizo nguvu tunazo basi Mzee mwenzanguWanatusinguzia kwamba tunawakagua wajukuu zetu, hivi inawezekane kweli mzee mwenzangu?🤭
Umenikumbusha kuna mshenzi humu anapanda sukari kila akiniona analipuka kama kichaa, kisa kibabu chake hawajamalizana vizuri huko sijui hawaaminiani🫢Na pia babu mjitahidi kuwa wa wazi mtutambulishe kwa mabibi zetu mapema kuepsha migongano🏃♂🏃♂️
Ndio DadMnatania eeee😁
Nyooooko!👌🏽😃Sijawahi kukagua mjukuu yoyote humu, wazee tunasingiziwa mengi. 😀
Wewe mimi ni something else aisee😅Nimeshajua nilipotoa ujeuri😂😂