Kuna mheshimiwa mmoja rip kwenye Ile skendo akaambiwa alete ushahidi akasema amesoma JF 😂Nikikumbuka zamani jukwaa la wakubwa na mizagamuano ya wanna jf mwisho wa siku wanakuja kutoleana uvivu humu aisee natamani siku zirudi nyuma kipindi jf inajadiliwa bungeni!
Eenh! Mi nimenyooka mchungaji😱
kama rula vile🌪️🌪️🌪️Eenh! Mi nimenyooka mchungaji😱
Umenipanga wee naangalia msg kila saakama rula vile🌪️🌪️🌪️