Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

mie nimependa pale aliposema mbali ya kutoa ndege ya kutupeleka pia Rais alituchagulia Rubani bora kabisa ambae hata wakati tuna land ilikuwa kwa utulivu hadi tukampigia makofi

sikujua kuwa awamu ya sita Rais anahusika hadi kupanga ratiba za marubani kuruka na kutua
 
Mashabiki wenyewe ukiwaangalia vizuri tu usoni utagundua kuna baadhi ya fyuzi zimekatika kwenye bongo zao [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwa stahili hii lile bango lao la kwenye jezi "Visit Tanzania" wanaenda kuliondoa msimu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…