Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

mie nimependa pale aliposema mbali ya kutoa ndege ya kutupeleka pia Rais alituchagulia Rubani bora kabisa ambae hata wakati tuna land ilikuwa kwa utulivu hadi tukampigia makofi

sikujua kuwa awamu ya sita Rais anahusika hadi kupanga ratiba za marubani kuruka na kutua
 

Attachments

  • 7F88F0A1-8246-4FA2-B2D4-4D67979109D6.jpeg
    7F88F0A1-8246-4FA2-B2D4-4D67979109D6.jpeg
    23.5 KB · Views: 2
Haiwez kufa kwenye nchi ya wajinga wanao shabikia Simba na yanga upumbavu mtupu

Kila mahali ukipita wanajadili Simba na yanga hadi baadhi ya viongozi wa dini

Kwa hiyo huu ujinga hauwez kufa kirahisi

Usipo shabikia moja wapo wa hizo timu unaomekana mshamba pumbavu zao


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mashabiki wenyewe ukiwaangalia vizuri tu usoni utagundua kuna baadhi ya fyuzi zimekatika kwenye bongo zao [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwa stahili hii lile bango lao la kwenye jezi "Visit Tanzania" wanaenda kuliondoa msimu ujao.
 
Back
Top Bottom