Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

Samia ameamua kuchezea kodi zetu.

Kweli wanasiasa wanatuona sisi ni manyumbu na kweli sisi ni manyumbu pro.

Kama huwezi kupinga uozo wa wanasiasa, jipige kifuani huku ukisema..

'Mimi ni nyumbu x3'

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Samia ameamua kuchezea kodi zetu.

Kweli wanasiasa wanatuona sisi ni manyumbu na kweli sisi ni manyumbu.

Kama huwezi kupinga uozo wa wanasiasa, jipige kifuani huku ukisema..

'Mimi ni nyumbu x3'

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mwana mpumbavu (Yanga) ni mzigo kwa mama yake.

Ndomana taifa kisoka halina consistency, unampongeza mtu aliyeshindwa (looser).
 
Bora wewe umeweka wazi kuliko wenzio wanatumia kivuli cha Yanga kupewa tena ndege ya kuwapeleka mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo la Yanga kupewa ndege nalo sijalifurahia hata ingekuwa kwa Simba bado ningesema.

Kuna timu juzi ilishindwa pesa ya usafiri na ikafukuzwa hotelini ikiwa ina madeni tele.

Erasto nyoni ndio alijitolea kulipa hizo gharama.

Kwa hiyo kama tunasema Raisi anajitoa kwenye michezo tumulike katika aspects zote sio kwasababu wanufaika ni Simba na Yanga basi tuone wengine hawana haki.

Timu ambayo unaisaidia wewe kuipa ndege kwenye mchezo wa ligi kuu ni timu ambayo inauwezo wa ku afford hizo gharama bila kikwazo.
 
Mwenye nacho huongezwa, tuishi humo.
 
Siamini hii kitu, ila kama ikiwa kweli nitaamini nchi hii kwa sasa hatuna Rais.

Kuna remote somewhere inafanya kazi yake.
Na mvimbe mpasuke.
 

Attachments

  • Screenshot_20230605-121216.jpg
    50.7 KB · Views: 2
Mwaka huu ndio mtajuwa heshima ya kufika fainali.

Yani unaandika huku unalia, na bado.
 

Attachments

  • FB_IMG_1685959540939.jpg
    60.3 KB · Views: 1
Haya ni matumizi mabaya kabisa ya fedha za Umma!
SSH aelewe kuwa timu zote zina mechi za league ya ndani na haileti afya hata kdg kuipa yanga usafiri.
Kama ni kutoka ktk mfuko wake binafsi sawa, ila kama ni fedha za walipa kodi tupaze sauti zetu kumwambia hili hapana, anatupeleka kulekule kwa mtangulizi wake!
 

Attachments

  • FB_IMG_1685867375406.jpg
    27.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    84.1 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685861984870.jpg
    45 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685856901618.jpg
    52.3 KB · Views: 1
Fadhila kwa yale mabango uwanjani wakati wa game.
#KaziIendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…