Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

Kama si wivu unaokusumbua,basi umekosea sanaa.
Ukifamya vizuri chochote unaweza kuzawadiwa.
Sasa Kolo limefanya nini hata liitwe lkulu na kupewa zawadi ikiwemo usafiri wa kwenda Mbeya?
Jitahidini mtambulike kama wananchi
 
Mwaka huu ndio mtajuwa heshima ya kufika fainali.

Yani unaandika huku unalia, na bado.
Heshima ndio nini wewe Gongowazi?

Kuvalishwa vile vishanga ndio heshima?

Ulimuona Mourinho juzi? Alipewa hicho kimedali akakitupa chini kwa hasira kwasababu ilikuwa inamvunjia heshima.

We unakuja unavimba kibwege eti "heshima" hizi ni akili za wapi?

Kati ya USM ALGER na Gongowazi ni nani ambaye amepata heshima?
 
Mwenye nacho huongezwa, tuishi humo.
Tuishi humo kwasababu una personal interest na Club?

A time will come tusianze kulalamika

Tujue kabisa wakati tatizo linaanza hatukupaza sauti kukemea ili kudhibiti kwasababu tulikuwa tuna maslahi yetu binafsi now limekuwa kubwa let's all not be hyporites.
 
Hili jambo nililitegemea. Na juzi nilisema Yanga watafungwa na Prisons ili timu ya Serikali ibaki ligi kuu.

Simba wana hasira, mpaka sasa wameshaishusha timu ya jeshi, kwa hiyo siyo wa kuwategemea sana. Polisi wakikaa vibaya watakula nyingi.
 
Hahahah!! eti "person internet" sasa hapo internet inahusikaje ?
 
Pole sana dada, najua inauma ila utazoea tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niumie nini nashangaa serikali inavyojishaua wkt mambo mengine yanadorora
 
Kwa hiki kinachoendelea ni kwa nini ATCL wasipate hasara kila mwaka. CAG usiache kurekodi hasara za hizi safari zisizokuwa na tija kwa taifa ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka
 
Soma post yako vizuri neno "interest" umeandika sasa niliyokuQuote umeandika "Internet" hii ni dalili kuwa Dundukaz zinaoita haki mbaya kipindi hiki kiasi cha kuchanganyikiwa.
Tukisema tuanze kuhukumiana kwa typing errors na auto correct mistakes, hatuwezi kupata mshindi

"zinaoita"???
 
Sikujua kuwa kuna watu mnaweza kuumia kiasi hiki, duh 🙄 utafikiri timu ya Young Africans sio ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…