Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima ndio nini wewe Gongowazi?Mwaka huu ndio mtajuwa heshima ya kufika fainali.
Yani unaandika huku unalia, na bado.
Tuishi humo kwasababu una personal interest na Club?Mwenye nacho huongezwa, tuishi humo.
Very huge.There is a vacuum in the presidential seat[emoji848][emoji22]
Yale maumivu ya mwarabu naona yameanza kupoa unafungua mdomo sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na mvimbe mpasuke.
Sasa hivi makonda ayupo mtapiga sana domo, kutesa ni kwa zamu kama vipi kajinyongeniSiamini hii kitu, ila kama ikiwa kweli nitaamini nchi hii kwa sasa hatuna Rais.
Kuna remote somewhere inafanya kazi yake.
Hahahah!! eti "person internet" sasa hapo internet inahusikaje ?Tuishi humo kwasababu una personal internet na Club?
A time will come tusianze kulalamika
Tujue kabisa wakati tatizo linaanza hatukupaza sauti kukemea ili kudhibiti kwasababu tulikuwa tuna maslahi yetu binafsi now limekuwa kubwa let's all not be hyporites.
Personal interest kwasababu ya ushabikiHahahah!! eti "person internet" sasa hapo internet inahusikaje ?
Soma post yako vizuri neno "interest" umeandika sasa niliyokuQuote umeandika "Internet" hii ni dalili kuwa Dundukaz zinapitia hali mbaya kipindi hiki kiasi cha kuchanganyikiwa.Personal interest kwasababu ya ushabiki
Niumie nini nashangaa serikali inavyojishaua wkt mambo mengine yanadororaPole sana dada, najua inauma ila utazoea tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukisema tuanze kuhukumiana kwa typing errors na auto correct mistakes, hatuwezi kupata mshindiSoma post yako vizuri neno "interest" umeandika sasa niliyokuQuote umeandika "Internet" hii ni dalili kuwa Dundukaz zinaoita haki mbaya kipindi hiki kiasi cha kuchanganyikiwa.
Hapo hajachukua kombeMbona kazi ipoo
Sikujua kuwa kuna watu mnaweza kuumia kiasi hiki, duh 🙄 utafikiri timu ya Young Africans sio ya TanzaniaHeshima ndio nini wewe Gongowazi?
Kuvalishwa vile vishanga ndio heshima?
Ulimuona Mourinho juzi? Alipewa hicho kiMedali akaitupa chini kwa hasira kwasababu ilikuwa inamvunjia heshima.
We unakuja unavimba kibwege eti "heshima" hizi ni akili za wapi?
Kati ya USM ALGER na Gongowazi ni nani ambaye amepata heshima?
Nakazia Mkuu.Mwenye nacho huongezwa, tuishi humo.
🤣🤣🤣Hahahah!! eti "person internet" sasa hapo internet inahusikaje ?