Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

Mwenzio kaona isiwe shida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmemuona Diamond lakini?
Amempa kibunda Diarra , Golikipa wa kimataifa.
Ngoja tuwaongezee makasiriko😂
 

Attachments

  • 1685972209377.jpg
    76 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230605-163643.jpg
    152 KB · Views: 1
Kila nikikumbuka timu yangu Ya Mara
Biashara United ilikosa Hela ya usafiri kwenda kucheza kule Uarabuni kwa ajili ya kufuzu makundi Alfu anapewa Yanga ambaye ana uwezo wa ku afford kabisa gharama zote aisee.. hapo naishiwa nguvu kabisa
Mama ingekuwa vyema basi hata sisi mbeya city tupewe Bus la kwenda nalo uwanjani jaman coz Yanga ashatoka kimataifa yupo NBC
 
Nchi ya hovyo, uongozi wa hovyo kila kitu ni ushabiki tu.. SAMIA kama anapenda michezo apambane na timu ya taifa na si kutafuta kiki za kisiasa kupitia YANGA.
 
Huko mbali mkuu labda unaweza sema huko ni ligi ya ndani msimu tu uliyo pita Biashara United akikosa Hela ya usafiri kabisa kwenda nje kwa ajili ya mechi za kimataifa lakin hakuna Alie jitokeza kwa ajili ya sapoti siyo TFF Wala hata serikari.
 
CAG Kichere

Shirika la Ndege la ATCL limeendelea kutengeneza hasara kwa mwaka huu wa ukaguzi ninapendekeza bodi ya shirika ijitathmini
Hiyo hasara haiku/haita sababishwa na Yanga kwasababu ATCL wanapeleka invoice IKULU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…