Injinia Masauni, utekaji umemuondoa Mambo ya Ndani?

Injinia Masauni, utekaji umemuondoa Mambo ya Ndani?

Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.

Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.

Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!

Sasa mama kaongea!
Acha ujinga Dogo utekaji ni sindcate kubwa mpaka ikulu
 
Utekaji na mauaji una baraka za baraza la mawazori ili kukinusiru chama chaokwa kuwatia hofu wananchi wapinzani wasishoriki siasa

Hii mbinu ccm wataendelea kuitumia mpaka uchaguzi ujao hawana namna nyingine hivyo kubadilisha waziri siyo suluhu, watarudia tena mwakani
Ili wachukue tena madaraka kwa Hila na vitisho
 
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.

Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!
Sidhani kama kuna jipya,
 
Kwa hiyo anayetakiwa kushughulikia utekaji, na hashughulikii anaongezaje ufanisi wa serikali yzko sikivu.
hakuna haja ya kukimbia tatizo, hata kama mtu mwenye tamaa binafsi kabambwa akimendea mke wa mtu kwa siri, na akaambulia ngeu au mauti, hakuna haja ya kukimbia changamoto hiyo licha ya kwamba inahusishwa na utekaji,

able and bold leader, unashughulika na tatizo fearlessly na mambo yanasonga bila mbambamba 🐒
 
Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.

Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.

Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!

Sasa mama kaongea!
 
Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.

Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.

Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!

Sasa mama kaongea!
Yawezekana! Ila raia wamechoka kabisa kabisa kabisa. Haiwezekani hili swala TULIVUMILIE!
 
Cha ajabu utaambiwa Masauni ni mtu wa "system" au anaandaliwa kuwa Rais wa zanzibar. Ndio unabaki unajiuliza kwamba hizi low IQ ndio potential kwenye "system" ya Tanzania? Ajabu sana
Kaka system ya nchi ilishakufa toka mwaka 2015

Wazee wengi potential walistaafu na wengine walikufa kwa korona

Sasahivi sys5ni corrupt na incompetent!!

Hatuna kabisa system ya kupima ubora na utendaji wa Viongozi sababu ya rushwa ndani ya idara!!
 
Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.

Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.

Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!

Sasa mama kaongea!
Masauni, kijana aliyechoka hata kabla ya kufikia uzee.
 
Mkuu.Mlitaka aangaike na anajua watekaji ni mpango wao wenyewe. Yeye kachagua njia isiyo na unafiki. Wewe unamtuma mtu amchape mtoto fimbo alafu utoke umkemee yule uliyemtuma amchape mtoto ?. Nafsi inamsuta akachagua kutokuwa mnafiki kakausha tu
Hilo nalo neno!
 
Back
Top Bottom