1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Jana si umeona nlikuwa na furaha tele, hadi nilimuweka whatsup status, ila huyu simweki status,hahaha Mimi nasevu comment zako
Huwezi amini nime download vitu vya Msudani lakini huyu hata siangaiki,,
Mkuu nadhani tutaendelea kukutana ktk vilinge vyetu hivi hivi, tutakuwa tunasema hapa
Vitu vya msudani hadi watani wangu walikubali wakasema kabisa hongereni msimbazi hakika mmetupa kazi kubwa ya kusaka namba 6.