Innocent Bashungwa amejiwekea rekodi ya kupita na kufanya kazi Wizara nyingi sana.Unafikiri sababu ni nini?

Amepewa nafasi ya kulitumikia taifa,
ni muhimu kumpa Muda 🐒
 
Mtu wa kanda ya ziwa huyo anajua nini cha kufanya ili watawala wamteue bila kupenda.
 
RWANDA ina The making! ujinga wetu kumsogeza mtu mezani
 
Kuna watu sio waongeaji wazuri kama kina makonda ila mpe makaratsi sasa halazi kazi chap kwa haraka kila kitu kinanyooka.
 
Miaka mitano ni muda mrefu, alitakiwa aoneshe maajabu! Wizara saba sasa lakini hamna jipya!! Labda kuna kitu nyuma ya pazia lakini si utendaji!
Gentleman,
mabadiliko yoyote serikalini yanaweza kua ni ya kimkakati, yanaweza kua ya kiutendaji, yanaweza kua ya kisiasa, lakini pia yanaweza kua ni shinikizo...

kwa sura ya kawaida tu kwa walioguswa na mabadiliko hayo,
ni dhahiri ni watendaji wa kimkakati na si vinginevyo.

Ni muhimu kua na subra na kuwapa nafasi ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote 🐒
 
Makonda keshasema, wanamroga sana samia ili wapate teuzi. Inaonesha Bashungwa ndo kinàra wa kuroga.
 
Jerry Silaa alitusaidia Sana ardhi...
Kila mmoja ana nafasi yake na siyo kwamba mtu mmoja ndiye anaweza maliza kero zote ikiwa hata pewa ushirikiano.waziri hawezi maliza kero zote ikiwa wa chini yake hawampi ushirikiano wa kutosha.jiulize alipita mikoa ,wilaya ,tarafa na kata ngapi alipokuwa waziri katika wizara hiyo? Mbona mimi mkoa niliopo hakufika?
 
Nyota tu ndugu
Ikingaaa HATA sayari ya masi unaongoxa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…