Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udukuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.
Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.
Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!
Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".