GBBali
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 1,931
- 537
We chizi?Achana na mitandaoni. Au anzisha mtandao wako halafu utumie mwenyewe ili uwe salama kumwabudubowe na kutukana watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We chizi?Achana na mitandaoni. Au anzisha mtandao wako halafu utumie mwenyewe ili uwe salama kumwabudubowe na kutukana watu
Israel amegoma hajawahi kwenda.Na mbaya zaidi ni kwamba anayejiita mdukuzi anayetumia cable ili ku access taarifa za simu serikali ilimgharamia nauli plus ada akajifunze izrael
What hurts the most ni kwamba hizo ada na nauli ni kodi zetu
Baada ya kudukua simu ya mbowe cheo kilipanda kwa hiyo hapo dau ni 400kHa ha ha....
Ingekua kudukua Ni KAZI rahisi uyo afande hata asingeendelea kua askali kuishi kwa laki 3 kwa mwezi
Upo sahihi 100%Magaidi hawatumii cm kuwasiliana , hujawai soma habari za magaidi ? Wale wanatumia barua tena wanaweza kumtuma mtu sehemu ya mbaaali apeleke barua tu.
Wewe umeandika makapi ya alichokoandika MIGNON
Kudukua ni Kiswahili cha neno hacking (hack)acheni ujinga nanyi, hebu zungumzeni lugha moja mara kudukua mara ku hack wengine hatuelewiiii.
tupeni hiyo elimu sasaaa
Hiyo software ya celebrite-pegasus ni very sophisticated na inauwezo wa kuingilia phone records remotely bila hata kufungua linkHata mimi nashangaa na tafsiri ya udukuzi ambayo ofsa anaimaanisha
Mtu kashika simu nane mkononi halafu unasema ana dukua, tena hakutoa ufafanuzi kama simu hizo alipewa zikiwa katika hali ya gani....huwenda zilikuwa unlocked tayari
Sasa nani ambaye ni mzembe angeshindwa kufanya alichofanya
Hao wadukuzi ni watupu hawana kitu maarifa finyu na ndio maana wanamkomalia mmiliki wa jf kutoa taarifa za wateja wake kwa maslahi yao, kwanini wasi hack?
Sana tena sana.. ameshindwa kuelewa kuwa PoliCCM wanateka na kukupora simu.Iq yako ni ndogo
Naelewaaa sasa nlitaka watu tuondoe hizo lugha mbili na tutumie moja na tupeane kiwango cha udukuzi hasa kwenye mitandao ya kijamii, ukuduzi kwa mitandao wa kijamii unaweza kuishia wapi maana enzi za magu nakumbuka kunawafanyabiashara wakubwa walikimbia mitandao ya simu hasa kwenye mazungumzo ya dili haramu wakawa wanatumia zaid whattsapp kwenye kuongeaKudukua ni Kiswahili cha neno hacking (hack)
Kuingilia mawasiliano ya mtu bila ridhaa yake na bila kushika simu au computer yake
Ku-gain access ya watsapp kwa kutumia pegasus software ni very very easy bila hata kuwa na physical devices kama simu ya mtuhumiwa or a person of interest.Nadhani ameweza kufanya hivyo kwasababu alipata access ya hizo devices.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na tofauti ya USB alizotumia na USB nyingine ni kwamba za kwake zina namba,
Hapo pakusema inafanya kazi remotely umetuongopea mzeeHiyo software ya celebrite-pegasus ni very sophisticated na inauwezo wa kuingilia phone records remotely bila hata kufungua link
Kwa kifupi tu hakuna siri popote kwenye intaneti, kuna namna nyingi sana ya mtu kupata taarifa zakonaelewaaa sasa nlitaka watu tuondoe hizo lugha mbili na tutumie moja na tupeane kiwango cha udukuzi hasa kwenye mitandao ya kijamii, ukuduzi kwa mitandao wa kijamii unaweza kuishia wapi maana enzi za magu nakumbuka kunawafanyabiashara wakubwa walikimbia mitandao ya simu hasa kwenye mazungumzo ya dili haramu wakawa wanatumia zaid whattsapp kwenye kuongea
Zipo nyingi tu zinazofanya kazi remotely, nyingi siyo hiyo moja tuHapo pakusema inafanya kazi remotely umetuongopea mzee