Inspekta Ndowo, umetufungua macho na "udukuzi wa kimaadili"

Inspekta Ndowo, umetufungua macho na "udukuzi wa kimaadili"

Kwa hiyo ku hack ni kama vile mazungmzo ya kina Nape yalivyonaswa?
Mazingumzo ya kina nape waliyatap kwenye saver za maprovider,ni kama vile uhalifu mkubwa unapotokea,jeshi la polisi linaweza likaenda kwa wamiliki wa mitandao na kuwaomba maongezi yaliyorekodiwa huwa hawanyimwi,hakuna sifa ya utaalamu hapo.
 
humu kunawatu wanajua mambo haswa pia kunawatu ni vilaza sanaa yani kilakitu ni matusi na kashfa.
 
nimecheka sana.....maana angekuja tu kutusaidia zile za michepuko huku mtaani monthly angepata zaidi ya 10m...
Tatizo Google playstore na app store ya Microsoft wote hawataki kuhost applications za namna hii

Hapo mwanzo zilikuwepo kibao kabla ya kuondolewa

Kwa Sasa inakuwa ngumu kama huna device mkononi, na simu nyingi bila kuroot zina detect hizo apps kama malicious software
 
Hawezi dukua kitu huyo kikazi asipokua na access na device yako!

Hamjui definition ya udukuzi, hao wanapakua toka Kwenye device!

Sometimes wanaomba mpaka password zako!
Cellebrite software ina sehemu mbili UFED na PHYSICAL ANALYSER na zote hizo hazifanyi kazi remotely

Na tena ili kupata access lazima simu ziwe on zikiwa unlocked
 
Cellebrite software ina sehemu mbili UFED na PHYSICAL ANALYSER na zote hizo hazifanyi kazi remotely

Na tena ili kupata access lazima simu ziwe on zikiwa unlocked
Yes, Jana niliona Kibatala akieleza vizuri. Mdukuaji alikua kilaza haswa
 
Aisee umejuaje kama mimi Mzee,mbona wanitisha!
Kama unafanya mambo makubwa yanayohatarisha sana usalama wa nchi basi tambua hakuna siri popote kwenye mtandao
 
Aisee umejuaje kama mimi Mzee,mbona wanitisha!

Wasiojulikana wakitaka kukufuatilia kupitia matumizi ya simu, ni suala la muda mfupi tu wanakudaka...

Ndio maana wale magaidi w kweli wanaotetemesha dunia, huwa wanatumia mifumo yao ya mawasiliano na wengine hutumia coded messages ambazo hata hao hackers wakiziona inawachukua muda kupata tafsiri sahihi...
 
Hata mnaotumia VPN msijidanganye sana

Kabla ya kuweka on VPN yako ulikuwa on na real IP address yako, wanaweza kufuatilia historia hiyo

Wakishindwa kwenye IP address wanawafuata wamiliki wa makampuni ya mawasiliano kama hapa jf wanamfuata mmiliki wanampa hela ya kutosha atawapa tu taarifa zako

Tuweni makini na tutumie mtandao kuingiza hela siyo kutukana watu
 
Mazingumzo ya kina nape waliyatap kwenye saver za maprovider,ni kama vile uhalifu mkubwa unapotokea,jeshi la polisi linaweza likaenda kwa wamiliki wa mitandao na kuwaomba maongezi yaliyorekodiwa huwa hawanyimwi,hakuna sifa ya utaalamu hapo.
Wangekua na uwezo wa kudukuwa mawasiliono remotely wasinge enda tigo au airtel kuomba call records kutoka server zao....... hata Israel yenyewe inashindwa kufanya hilo remoely sembuse police wetu wenye elimu duni
 
Kwa hiyo ku hack ni kama vile mazungmzo ya kina Nape yalivyonaswa?

Wale kuna mmoja alikuwa anarekodi simu, yaani ana simu yenye kurekodi mazungumzo ya simu...
 
Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udkuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.

Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.

Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!

Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
Namna pekee salama ya kuwa kwenye mtandao ni kwenda tofauti.
Miaka ya nyuma wakati tuko kwenye mapambano ya maisha tulikuwa wawili bond ya hatari kabisa. Tulichofanya ili watu wasijue njia zetu za maisha. Tulibuni maneno yetu yenye maana tunazojua cc. Kwa mfano nikiwaona askar au TRA wanakuja unamtumia meseji nimemuona Swaum macho makali anakuja. Anakuwa ashajua fasta anajipanga.
 
Sasa hiyo sio cellebrite software
Simple logic, Kibatala alipomuuliza shahidi juu ya habari ya Pegasus software,shahid akasema hawezi kuongelea masuala ya kiusalama mahakamani, deep down shahid na security apparatus walijua wangeleta balaa kama wange-admit. Kibatala knows it na hakuuliza hili swali wakati anatengeneza premises bila kuwa na sound intelligence. Mambo waliyofanyiwa xxxx wa mtama na bumbuli unafikiri nini kilifanyika? Pegasus imetumika na inatumika sana Uganda ku-suppress political opponents wa Museveni, and Museven na MEKO were all using the same playbook when it comes to dealing with the opposition. So kwa analyst yeyote hawezi kuwa suprised na kilichojitokeza jana.
 
Kigogo ni mtu wa huko huko kwenye system na ni mtu mkubwa sana

Lakini serikali wakitumia TCRA hawashindwi kumpata, serikali wanaweza pia kuwasiliana na mmiliki wa tweeter huyo Kigogo atapatikana kirahisi kabisa
Mmiliki wa tweeter hawezi iharibu biashara yake,kwa kumtaja mteja wake.Hiyo itafanya watu wafunge akaunti zao
 
Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udkuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.

Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.

Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!

Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
 
Achana na mitandaoni. Au anzisha mtandao wako halafu utumie mwenyewe ili uwe salama kumwabudubowe na kutukana watu
Bangi haijawahi kumuacha mtu salama, mwenzio ameleta hoja muhimu wewe unaleta zakuletwa, si lazima kila hoja ushiriki nyingine ziache zipite.
 
Kwa hiyo ku hack ni kama vile mazungmzo ya kina Nape yalivyonaswa?
Kabisa. Hiyo ni kazi ya Pegasus wa Israel. Mataifa mengi yanayofuatilia nyendo za watu wao wamekodisha hiyo programu toka kwao. Hakika hatupo salama.
 
Back
Top Bottom