Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Ile nayo siyo kuhack ,wale wameenda kwenye kampuni za simu ili warekodi mambo wanayoongea kina Nape,kudukua ni ishu nyingineKwa hiyo ku hack ni kama vile mazungmzo ya kina Nape yalivyonaswa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile nayo siyo kuhack ,wale wameenda kwenye kampuni za simu ili warekodi mambo wanayoongea kina Nape,kudukua ni ishu nyingineKwa hiyo ku hack ni kama vile mazungmzo ya kina Nape yalivyonaswa?
Serikali ikitoa sababu zenye mashiko anawapa taarifa zake bila shida yoyote hasa kama huyo mtu anahatarisha usalama wa nchiMmiliki wa tweeter hawezi iharibu biashara yake,kwa kumtaja mteja wake.Hiyo itafanya watu wafunge akaunti zao
Mchokozi wewe,unamaanisha Jf wanapokea rushwa?Hata mnaotumia VPN msijidanganye sana
Kabla ya kuweka on VPN yako ulikuwa on na real IP address yako, wanaweza kufuatilia historia hiyo
Wakishindwa kwenye IP address wanawafuata wamiliki wa makampuni ya mawasiliano kama hapa jf wanamfuata mmiliki wanampa hela ya kutosha atawapa tu taarifa zako
Tuweni makini na tutumie mtandao kuingiza hela siyo kutukana watu
Tweeter walikataa katakata kutoa taarifa za mtu anayejiita "kigogo" .hawawezi kuhatarisha privacy ya mteja wao eti sababu ya usalama wa nchi.Serikali ikitoa sababu zenye mashiko anawapa taarifa zake bila shida yoyote hasa kama huyo mtu anahatarisha usalama wa nchi
Tambua serikali na mtu binafsi ni vitu viwili tofauti
Serikali wanaweza hata kupiga marufuku hiyo tweeter isionekane Tanzania
Yuko mmoja alifunga safari mpaka Marekani kumtafuta aliyetengeneza na kuweka picha yake mbofumbofu kwenye mitandao ya kijamii alirudi kapa, waligoma.Tweeter walikataa katakata kutoa taarifa za mtu anayejiita "kigogo" .hawawezi kuhatarisha privacy ya mteja wao eti sababu ya usalama wa nchi.
Ukipata ushahidi kwa njia haramu haukubaliki mahakamani hivyo kuomba kwa jf ni kuhalisha kisheria tu siyo kwamba hawawezi kutudukuaHata mimi nashangaa na tafsiri ya udukuzi ambayo ofsa anaimaanisha
Mtu kashika simu nane mkononi halafu unasema ana dukua, tena hakutoa ufafanuzi kama simu hizo alipewa zikiwa katika hali ya gani....huwenda zilikuwa unlocked tayari
Sasa nani ambaye ni mzembe angeshindwa kufanya alichofanya
Hao wadukuzi ni watupu hawana kitu maarifa finyu na ndio maana wanamkomalia mmiliki wa jf kutoa taarifa za wateja wake kwa maslahi yao, kwanini wasi hack?
Hakuna kitu kama hicho, ukiona hivyo ujue washagundua kuna ugumu sehemuUkipata ushahidi kwa njia haramu haukubaliki mahakamani hivyo kuomba kwa jf ni kuhalisha kisheria tu siyo kwamba hawawezi kutudukua
Na ndiyo maana akaulizwa na Kibatala, hiyo Ethical Hacking uliyosema umesoma unamaanisha Udukizi wa Kimaadili, akagoma hajui maana yake.
Mwaka juzi kampuni ya Apple,iliwagomea FBI kuifungua lock simu iliyodondoshwa na kijana mmoja mwenye asili ya Asia,ambaye FBI walimtuhumu kuwa ni gaidi,simu hiyo ikiwa imetengenezwa na Apple ililokiwa kiasi kwamba FBI na ujuzi wao wote walichemka kuifungua,walikuwa wanauezo wa kuifungua ila data zote zingepotea,waliiomba Apple iifungue simu hiyo pasipo kupoteza data zake,Apple waligoma katakata huku wakitoa tamko kwamba hawataifungua simu hiyo sababu watakuwa wameianika privacy ya mteja wao na wangepoteza Imani kwa watumiaji wa simu za Apple duniani kote.Yuko mmoja alifunga safari mpaka Marekani kumtafuta aliyetengeneza na kuweka picha yake mbofumbofu kwenye mitandao ya kijamii alirudi kapa, waligoma.
Lakini jasho lilimtoka aisee.kutoa ushaidi kwa kesi ambayo kibatala ni wakili wake ni kujitakia shida.nimeshangaa wakili huyu msomi anadadavua maswala ya IT kama mhandisi mmbobevu wa maswala hayo.hapa amefanyeje? uwezo huu ameupateje?Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udukuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.
Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.
Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!
Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
Ni hatari sana.Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udukuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.
Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.
Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!
Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
kuna jamaa yngu ni mtu wa system huwa ananambia mtandao ambao uko safe ni whatsapp tu tena si kwa mesage bali voice calls onlyNimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udukuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.
Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.
Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!
Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
Hakuna anaweza dukua whatsapp au telegram! Wangekua na uwezo wa kudukua whatsapp/telegram wasinge mpeleka mmiliki wa jf mahakamani! Wangedukua jf wachukue wanacho taka!Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udukuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.