Inspekta Ndowo, umetufungua macho na "udukuzi wa kimaadili"

Hapo pakusema inafanya kazi remotely umetuongopea mzee
I am talking abt something i know, na sijaanza kuijua hiyo software jana mahakamani, nina sehemu ya uelewa on how it operates.
Soma hii article ya the guardian itakupa some insights.

It is the name for perhaps the most powerful piece of spyware ever developed – certainly by a private company. Once it has wormed its way on to your phone, without you noticing, it can turn it into a 24-hour surveillance device. It can copy messages you send or receive, harvest your photos and record your calls. It might secretly film you through your phone’s camera, or activate the microphone to record your conversations. It can potentially pinpoint where you are, where you’ve been, and who you’ve met.
 
Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udkuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.

Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.

Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!

Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
Binafsi ningemuuliza jamaa swali moja tuu.. vipi kuhusu Kigogo mshamkamata?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hiyo Israel aliyoenda kusoma Bora angetulia tu bila kujitangaza.
 
Kigogo ni mtu wa huko huko kwenye system na ni mtu mkubwa sana

Lakini serikali wakitumia TCRA hawashindwi kumpata, serikali wanaweza pia kuwasiliana na mmiliki wa tweeter huyo Kigogo atapatikana kirahisi kabisa
 
Binafsi ningemuuliza jamaa swali moja tuu.. vipi kuhusu Kigogo mshamkamata?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hiyo Israel aliyoenda kusoma Bora angetulia tu bila kujitangaza.
Hii software imekuwa prohibited na kampuni ya NSO ku-gain access ya taarifa za mtu kwenye simu inayotumia US call code +1 , sababu ya kuhofia repercussion za US sanctions na political storm ndani ya US, kiasi cha kuharibu special relationship kati ya USA na Israel.
 
Pegasus ndo ina huo uwezo
TISS watakua nayo
Hata Tiss hawana huo uwezo wa ku hack simu eti ekiwa off yule jama mjinga kabisa, wana poteza pesa ya serikali bure, nipe simu hizo nane na kumputer ni install software yangu uone kama sta retrive kila kitu kwenye hizo simu bila shida yoyote.......
 
Hii software imekuwa prohibited na kampuni ya NSO ku-gain access ya taarifa za mtu kwenye simu inayotumia US call code +1 , sababu ya kuhofia repercussion za US sanctions na political storm ndani ya US, kiasi cha kuharibu special relationship kati ya USA na Israel.
Lakini software yenye uwezo huo siyo moja tu, zipo nyingi na nyingine ni siri hackers wanazo wanazitumia privately wakihitajika kufanya kazi hiyo
 
Alichofanya siyo udukuzi.

Ila hauna faragha unayoifikiria mtandaoni.

Mfano hebu google aina za simu mfano labda Samsung model mbali mbali au iphone kisha ingia Insta uone recommendations zitakazoanza kuja.

Huo ni mfano mdogo ila hii mitandao inaweza kudeduce behavior, preferences na location ya mtumia device hata bila mtumiaji kuexpose chochote.

Now ukifuta kitu mfano sms ni kama inatoka wewe usiione lakini inakua inaelea somewhere ikisubiri kua replaced na sms nyingine utayodelete. So umedelete sms ya 'Mambo' inakua umeifuta usiione ila bado ipo ikisubiri kua replaced ili sasa ifutike mazima so ukafuta sms ya 'Nakuja' hii 'Nakuja' inaenda kuchukua space ya 'Mambo'

Hence 'Mambo' sasa itakua ngumu kua retrieved as imeshakua replaced na kadri replacement inavyoendelea ndivyo retrieving inakua next to impossible mpaka inakua impossible.

Same inaenda kwa picha na media zingine.

So alichofanya Inspekta ni hicho 'Kuretrieve' kuhack na kuphish kama inataka kuendana mfano ikaja link imeandikwa 'connection ya meena' wewe ukaiclick ukadhani ni video kumbe imekuja na app with it ambayo itajiinstall bila wewe kujua, so video itaisha huku umedownload kitu amnacho kitampa mtu access na device yako. Hii ni phishing.

Hacking ni kutafuta upenyo/ udhaifu kwenye system na kuitumia ili kupata access ya system. Tulifundishwa ila nimesahau but basically hacking is boring siyo kama movie zinazokuaminisha kwamba sijui ni kuclick buttons haraka haraka unamalizia 'Enter' halafu mara codes zinapita haraka haraka kisha voila umeingia kwenye system.

Haiko hivyo.
 
Hata Tiss hawana huo uwezo wa ku hack simu eti ekiwa off yule jama mjinga kabisa, wana poteza pesa ya serikali bure, nipe simu hizo nane na kumputer ni install software yangu uone kama sta retrive kila kitu kwenye hizo simu bila shida yoyote.......
Wala Huhitaji kuinstall software, USB wire tu unganisha simu na computer kila kitu unacho

Kama una devices mkononi hakuna kinachoshindikana, shida huja kwenye kuhack remotely
 
Alichofanya siyo udukuzi.

Ila hauna faragha unayoifikiria mtandaoni.

Mfano hebu google aina za simu mfano labda Samsung model mbali mbali au iphone kisha ingia Insta uone recommendations zitakazoanza kuja.

Huo ni mfano mdogo ila hii mitandao inaweza kudeduce behavior, preferences na location ya mtumia device hata bila mtumiaji kuexpose chochote.

Now ukifuta kitu mfano sms ni kama inatoka wewe usiione lakini inakua inaelea somewhere ikisubiri kua replaced na sms nyingine utayodelete. So umedelete sms ya 'Mambo' inakua umeifuta usiione ila bado ipo ikisubiri kua replaced ili sasa ifutike mazima so ukafuta sms ya 'Nakuja' hii 'Nakuja' inaenda kuchukua space ya 'Mambo'

Hence 'Mambo' sasa itakua ngumu kua retrieved as imeshakua replaced na kadri replacement inavyoendelea ndivyo retrieving inakua next to impossible mpaka inakua impossible.

Same inaenda kwa picha na media zingine.

So alichofanya Inspekta ni hicho 'Kuretrieve' kuhack na kuphish kama inataka kuendana mfano ikaja link imeandikwa 'connection ya meena' wewe ukaiclick ukadhani ni video kumbe imekuja na app with it ambayo itajiinstall bila wewe kujua, so video itaisha huku umedownload kitu amnacho kitampa mtu access na device yako. Hii ni phishing.

Hacking ni kutafuta upenyo/ udhaifu kwenye system na kuitumia ili kupata access ya system. Tulifundishwa ila nimesahau but basically hacking is boring siyo kama movie zinazokuaminisha kwamba sijui ni kuclick buttons haraka haraka unamalizia 'Enter' halafu mara codes zinapita haraka haraka kisha voila umeingia kwenye system.

Haiko hivyo.
Good

Hata ukiongea unakuwa recorded

Jaribu kuwa unaongea na rafiki yako kuwa unataka kununua simu na internet ya simu yako ipo on utaona ukiingia mtandaoni unakutana na ads za simu zinazouzwa
 
Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udkuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.

Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.

Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!

Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
Muongo huyo jamaa na hajadukua wala hajui kitu, inshort ni kilaza kabisa, kila akiulizwa kwenye hayo mazungumzo umeona au kusikia nini, anakuambia kuna logs tu, akiulizwa sauti ziko wapi anasema hawezi kuziweka kwa sababu za kiusalama, sasa si maigizo hayo
 
I am talking abt something i know, na sijaanza kuijua hiyo software jana mahakamani, nina sehemu ya uelewa on how it operates.
Soma hii article ya the guardian itakupa some insights.

It is the name for perhaps the most powerful piece of spyware ever developed – certainly by a private company. Once it has wormed its way on to your phone, without you noticing, it can turn it into a 24-hour surveillance device. It can copy messages you send or receive, harvest your photos and record your calls. It might secretly film you through your phone’s camera, or activate the microphone to record your conversations. It can potentially pinpoint where you are, where you’ve been, and who you’ve met.
Sasa hiyo sio cellebrite software
 
Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udkuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.

Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.

Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!

Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".

Hawezi dukua kitu huyo kikazi asipokua na access na device yako!

Hamjui definition ya udukuzi, hao wanapakua toka Kwenye device!

Sometimes wanaomba mpaka password zako!
 
Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udkuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.

Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.

Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!

Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
Tafuta kufahamu maana ya udukuzi kwanza halafu urudie kuandika.
 
cellebrite software haifanyi remotely
Mimi kwanza ndiyo naiskia leo lakini nazifahamu zingine zinazoweza kufanya kazi hiyo

Pia kama wewe ni computer programmer unaweza kutengeneza yako binafsi na ukaitumia bila kuitangaza
 
Back
Top Bottom