Inspekta Ndowo, umetufungua macho na "udukuzi wa kimaadili"

Magaidi hawatumii cm kuwasiliana , hujawai soma habari za magaidi ? Wale wanatumia barua tena wanaweza kumtuma mtu sehemu ya mbaaali apeleke barua tu.
 
Na mbaya zaidi ni kwamba anayejiita mdukuzi anayetumia cable ili ku access taarifa za simu serikali ilimgharamia nauli plus ada akajifunze izrael

What hurts the most ni kwamba hizo ada na nauli ni kodi zetu
Israel amegoma hajawahi kwenda.
 
Huko siyo kudukua (hacking)

Pamoja na hayo yote bado hakuna kitu kinaitwa siri kwenye mtandao

Ni kujidanganya tu kwamba kuna siri

Hakuna siri popote kwenye mtandao

Kama unahatarisha usalama wa nchi kuna namna nyingi tu ya kukupata ikiwemo kutumia ip address

Hata huyu mwenye jf hatuwezi kumwamini kwa asilimia 100 kwani moyo wa mtu ni kichaka na hakuna mkate mgumu mbele ya chai

Pia mkumbuke intaneti iligunduliwa na jeshi la Marekani na wanasoma kila kitu kwenye background

Tumia mtandao kwa akili na adabu lolote linawezekana
 
Acheni ujinga nanyi, hebu zungumzeni lugha moja mara kudukua mara ku hack wengine hatuelewiiii.

Tupeni hiyo elimu sasaaa
 
Hiyo software ya celebrite-pegasus ni very sophisticated na inauwezo wa kuingilia phone records remotely bila hata kufungua link
 
Wazungu ndiyo wanamiliki satellite na blog au website karibu zote za bongo wanatumia server za huko ulaya na Marekani

Sasa siri utaiweka wapi kwenye mtandao?

Hakuna siri

Ni kujidanganya tu
 
Kudukua ni Kiswahili cha neno hacking (hack)

Kuingilia mawasiliano ya mtu bila ridhaa yake na bila kushika simu au computer yake
Naelewaaa sasa nlitaka watu tuondoe hizo lugha mbili na tutumie moja na tupeane kiwango cha udukuzi hasa kwenye mitandao ya kijamii, ukuduzi kwa mitandao wa kijamii unaweza kuishia wapi maana enzi za magu nakumbuka kunawafanyabiashara wakubwa walikimbia mitandao ya simu hasa kwenye mazungumzo ya dili haramu wakawa wanatumia zaid whattsapp kwenye kuongea
 
Nadhani ameweza kufanya hivyo kwasababu alipata access ya hizo devices.
Ku-gain access ya watsapp kwa kutumia pegasus software ni very very easy bila hata kuwa na physical devices kama simu ya mtuhumiwa or a person of interest.
 
Kwa kifupi tu hakuna siri popote kwenye intaneti, kuna namna nyingi sana ya mtu kupata taarifa zako

Tena serikali ikiamua kweli kweli kutaka kukupata huwezi kukimbia watakupata tu maana ni nchi yao na kila kitu kinapita kwao hata kampuni za simu zinawajibika TCRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…