Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Mazingumzo ya kina nape waliyatap kwenye saver za maprovider,ni kama vile uhalifu mkubwa unapotokea,jeshi la polisi linaweza likaenda kwa wamiliki wa mitandao na kuwaomba maongezi yaliyorekodiwa huwa hawanyimwi,hakuna sifa ya utaalamu hapo.Kwa hiyo ku hack ni kama vile mazungmzo ya kina Nape yalivyonaswa?
Tatizo Google playstore na app store ya Microsoft wote hawataki kuhost applications za namna hiinimecheka sana.....maana angekuja tu kutusaidia zile za michepuko huku mtaani monthly angepata zaidi ya 10m...
Cellebrite software ina sehemu mbili UFED na PHYSICAL ANALYSER na zote hizo hazifanyi kazi remotelyHawezi dukua kitu huyo kikazi asipokua na access na device yako!
Hamjui definition ya udukuzi, hao wanapakua toka Kwenye device!
Sometimes wanaomba mpaka password zako!
Tena katumia cable za technoHamna alichodukua Apo, ame-retrieve TU.
Kudukua maana yake kua mtu wa tatu, sio KAZI rahisi kiivyo bwashee[emoji4]
Aisee umejuaje kama mimi Mzee,mbona wanitisha!Yaani mzee miaka yote hukuwa wajua upo exposed?
Yes, Jana niliona Kibatala akieleza vizuri. Mdukuaji alikua kilaza haswaCellebrite software ina sehemu mbili UFED na PHYSICAL ANALYSER na zote hizo hazifanyi kazi remotely
Na tena ili kupata access lazima simu ziwe on zikiwa unlocked
Usisahau kuwa "mdukuaji" huyu ni miongoni mwa wale form four failures waliosemwa na Waziri waoHata mimi nashangaa na tafsiri ya udukuzi ambayo ofsa anaimaanisha...
Kama unafanya mambo makubwa yanayohatarisha sana usalama wa nchi basi tambua hakuna siri popote kwenye mtandaoAisee umejuaje kama mimi Mzee,mbona wanitisha!
Aisee umejuaje kama mimi Mzee,mbona wanitisha!
Wangekua na uwezo wa kudukuwa mawasiliono remotely wasinge enda tigo au airtel kuomba call records kutoka server zao....... hata Israel yenyewe inashindwa kufanya hilo remoely sembuse police wetu wenye elimu duniMazingumzo ya kina nape waliyatap kwenye saver za maprovider,ni kama vile uhalifu mkubwa unapotokea,jeshi la polisi linaweza likaenda kwa wamiliki wa mitandao na kuwaomba maongezi yaliyorekodiwa huwa hawanyimwi,hakuna sifa ya utaalamu hapo.
Kwa hiyo ku hack ni kama vile mazungmzo ya kina Nape yalivyonaswa?
Namna pekee salama ya kuwa kwenye mtandao ni kwenda tofauti.Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udkuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.
Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.
Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!
Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
Simple logic, Kibatala alipomuuliza shahidi juu ya habari ya Pegasus software,shahid akasema hawezi kuongelea masuala ya kiusalama mahakamani, deep down shahid na security apparatus walijua wangeleta balaa kama wange-admit. Kibatala knows it na hakuuliza hili swali wakati anatengeneza premises bila kuwa na sound intelligence. Mambo waliyofanyiwa xxxx wa mtama na bumbuli unafikiri nini kilifanyika? Pegasus imetumika na inatumika sana Uganda ku-suppress political opponents wa Museveni, and Museven na MEKO were all using the same playbook when it comes to dealing with the opposition. So kwa analyst yeyote hawezi kuwa suprised na kilichojitokeza jana.Sasa hiyo sio cellebrite software
Mmiliki wa tweeter hawezi iharibu biashara yake,kwa kumtaja mteja wake.Hiyo itafanya watu wafunge akaunti zaoKigogo ni mtu wa huko huko kwenye system na ni mtu mkubwa sana
Lakini serikali wakitumia TCRA hawashindwi kumpata, serikali wanaweza pia kuwasiliana na mmiliki wa tweeter huyo Kigogo atapatikana kirahisi kabisa
Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".Nimefuatilia ushahidi wa bingwa huyu wa "udkuzi wa kimaadili" na kwa sasa nimeamini kuwa mitandao si salama kama tunavyoamini.
Whatsapp wanakuambia "encrypted" messages, ni wewe na unayemtumia au mliounganishwa tu mnaweza kuona mawasiliano yenu, gwiji katu-prove wrong.
Tunajidanganya ku-delete message na mambo mengine, mtaalamu wa udukuzi anatucheck tu!
Tuitumie mitandao kwa mambo mema kwani tupo "uchi".
Bangi haijawahi kumuacha mtu salama, mwenzio ameleta hoja muhimu wewe unaleta zakuletwa, si lazima kila hoja ushiriki nyingine ziache zipite.Achana na mitandaoni. Au anzisha mtandao wako halafu utumie mwenyewe ili uwe salama kumwabudubowe na kutukana watu
Kabisa. Hiyo ni kazi ya Pegasus wa Israel. Mataifa mengi yanayofuatilia nyendo za watu wao wamekodisha hiyo programu toka kwao. Hakika hatupo salama.Kwa hiyo ku hack ni kama vile mazungmzo ya kina Nape yalivyonaswa?