Asiye funzwa na mamaye........Huyu Gigy anaongoza kwa kujidhalilisha utafikiri hana wazazi au anaishi msituni
Mtake radhi asee Warumi dume tena la haja vooo
Ndo nasoma hilo jinaIna maana huyo techno alikula lulu mjane? Sasa sisi watoto wa villa hata hao akina Gigy sijui gigy nawasikia leo hapa, naona ndio wanapewa promo
Wanawake mna maneno!!!!!Tako gani bwana,Gigy mwenyewe mchafuuuuu!
Anatumia mikorogo cheap haeleweki rangi yake utadhani alimezwa na kutemwa na chatu!
Kwa hiyo ana funzwa na teknoAsiye funzwa na mamaye........
Lazima kaandikiwa...Hivi tekbo anajua kiswahili ehh?
Mkuu mi nahisi anafunzwa na manager wa tecno hahahaaaaKwa hiyo ana funzwa na tekno
Na tekno pia maana kampost kabisa...! Nilishawai kujiuliza hivi kwanini huyo Gigy asidhibitiwe maana anapenda kujidhalilisha sana lakini naona kafunzwa na managerMkuu mi nahisi anafunzwa na manager wa tecno hahahaaaa
Huyo Gigy anapigwa hadi na mateja ijekuwa wewe?
Pesa yako tu mkuu.
Mtungo ndo dawa yake nahisiNa tekno pia maana kampost kabisa...! Nilishawai kujiuliza hivi kwanini huyo Gigy asidhibitiwe maana anapenda kujidhalilisha sana lakini naona kafunzwa na manager