Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
unapotafuta umaarufu bila shughuli maalum ya kufanya lazima uwe malaya tu
Over
 
Ngoja nisake mkwanja wakuu...

Hizi dudu zinapigwa na wakuja tuu?
 
Mkuu mi nahisi anafunzwa na manager wa tecno hahahaaaa
Na tekno pia maana kampost kabisa...! Nilishawai kujiuliza hivi kwanini huyo Gigy asidhibitiwe maana anapenda kujidhalilisha sana lakini naona kafunzwa na manager
 
Tuzae watoto wa kiume wawe mashoga,tuzae vya kike viwe type ya gigy na wachafu wengine..dah😕😕sijui tutafute watoto wa jinsia gani!!
 
Huyo Gigy anapigwa hadi na mateja ijekuwa wewe?
Pesa yako tu mkuu.

Nay wa mitego alishasema haya, sema watu wakamuona mbaya....

Vyupi vinavuliwa tuu! Lol
 
Last edited by a moderator:
Na tekno pia maana kampost kabisa...! Nilishawai kujiuliza hivi kwanini huyo Gigy asidhibitiwe maana anapenda kujidhalilisha sana lakini naona kafunzwa na manager
Mtungo ndo dawa yake nahisi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom