Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Kwangu saladini ndio movie bora hakika bongo movie ilikua zamaniHi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos kwa waigizaji woteView attachment 2403346View attachment 2403352
GirlfriendHongera kwa Musa Banzi kwa kutengeneza kazi hii nzuri na nyingine nyingi kama vile Tabana,Game of love,Sakafu wa Moyo,Zogo,Kihongwe,Kiss me,Shenaiza n.k.......Bongo movie ilikuwa na uelekeo mzuri sana mpaka ilipokuwa na uelekeo mbaya
Girlfriend na Saladini sio za Musa Banzi,Saladini nadhan ni ya July Tax wa Mwanza,Girlfriend ni ya George Tyson ila imetayarishwa na Sultan Tamba.Girlfriend
Saradini
Mimi na uzee wangu kupita makaburini mchana sipiti sembuse watotoNsyuka ilikuwa Kuna watoto ukiwatuma dukani usiku njia ikiwa makaburini hawaendi
Oooooh sawa.Girlfriend na Saladini sio za Musa Banzi,Saladini nadhan ni ya July Tax wa Mwanza,Girlfriend ni ya George Tyson ila imetayarishwa na Sultan Tamba.
Hii muvi utadhani waliigiza kwa ajili ya watoto wa chekecheaKwangu saladini ndio movie bora hakika bongo movie ilikua zamani
Kanumba na wenzie walipoanza kuwaiga Wa Nigeria ndio walipo poteana na hawa wa sasa wanawaiga Wahindi,Hongera kwa Musa Banzi kwa kutengeneza kazi hii nzuri na nyingine nyingi kama vile Tabana,Game of love,Sakafu wa Moyo,Zogo,Kihongwe,Kiss me,Shenaiza n.k.......Bongo movie ilikuwa na uelekeo mzuri sana mpaka ilipokuwa na uelekeo mbaya
Hamna, bongo movies hawana platform ya kuuzia movies zao. Hilo ndilo tatizo kubwaSure ubinafsi ndio uliua tasnia ya bongo movies
Of course, hii ndio ilikuwa turning point ya golden era of bongo movie, 2003- 2012Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos kwa waigizaji woteView attachment 2403346View attachment 2403352
Sababu ya kufa bongo muvi ni mabadiliko ya kiteknolojiaHongera kwa Musa Banzi kwa kutengeneza kazi hii nzuri na nyingine nyingi kama vile Tabana,Game of love,Sakafu wa Moyo,Zogo,Kihongwe,Kiss me,Shenaiza n.k.......Bongo movie ilikuwa na uelekeo mzuri sana mpaka ilipokuwa na uelekeo mbaya
Baada ya watu kuzoea kuona muvi kwa flashi, soko la uhakika la muvi limekuwa gumu kuingia na kupata faida,Sababu ya kufa bongo muvi ni mabadiliko ya kiteknolojia
Baada ya vhs kupikuliwa na cd na dvd, ikawa rahisi watu kukopi filamu na pirates wakawa wanapiga pesa, ikashindikana kudhibiti piracy,
Wakati huo ni miaka ya mwanzoni mwa miaka ya 2010.
Wasanii wengi walihisi kuhujumiwa na steps msambazaji mkuu, wakamsema sana hawakujua kuwa steps mwenyewe siko lishaanza kufa.
Hadi mwishoni mwa miaka ya 2010, nyumba nyingi zikawa zimeacha kutumia cd na wanatumia flash. Siku hizi nyumba nyingi hawana hata deki za dvd wanatumia flash
Hivyo tasnia haina pesa, cd hazina soko, na watu wananunua muvi kwa mia tano mia tano kwa mapirates,
Sasa kama mmenotisi tamthilia ni kali kuliko muvi, jiulizeni kwanini leo bongo muvi ipo chini ila tamthilia kama jua kali, kombolela, nk ni nzuri na zina uboraBaada ya watu kuzoea kuona muvi kwa flashi, soko la uhakika la muvi limekuwa gumu kuingia na kupata faida,
Hii imefanya watu wenye fedha kuacha kuinvest kutengeneza muvi, hii inafanya wasanii wazuri, madirector wazuri na hata maproducer kuacha kufanya kazi kwasababu ya ukali wa maisha na kufanya ishu ingine hii ikafanya bongo movie kuwa low quality kuliko za enzi zile za kanumba kipindi watu wako tayari kununua m8kanda na deki walikuwa nazo
Sasa siku hizi kuna platform kama showmax na netflix, shida ya hizi hazifikiki kirahisi na maproducer wa kawaida wa kibongo wasio na pesa ni kama platform za kimagharibi mno na hazilengi maproducer wa Kiafrika na soko letu kwa ujumla, huku platform zetu kama swahiliflix zina changamoto kibao
Uko sahihi kabisa, hakuna pa kuuzia, hakuna pakurejesha pesa mtu anayoinvest, inafanya wenye pesa kufanyia pesa zao biashara ingine, inafanya wasanii wakose pesa na wale wanaojua hasa kuigiza kuachana na kazi za sanaa, ama wale wenye majin makubwa kuacha kucheza filamu na kufanya kazi za tamthilia peke yakeHamna, bongo movies hawana platform ya kuuzia movies zao. Hilo ndilo tatizo kubwa
Ubora na viwango pia upo chini huwezi amini insyuka au shumileta ni za zamani lakini bado zikikuwa bora kuliko hizi za sasa.Uko sahihi kabisa, hakuna pa kuuzia, hakuna pakurejesha pesa mtu anayoinvest, inafanya wenye pesa kufanyia pesa zao biashara ingine, inafanya wasanii wakose pesa na wale wanaojua hasa kuigiza kuachana na kazi za sanaa, ama wale wenye majin makubwa kuacha kucheza filamu na kufanya kazi za tamthilia peke yake
Kazi mbovu watu hawanunui mbona kuna movie za kibongo zipo Netflix?Uko sahihi kabisa, hakuna pa kuuzia, hakuna pakurejesha pesa mtu anayoinvest, inafanya wenye pesa kufanyia pesa zao biashara ingine, inafanya wasanii wakose pesa na wale wanaojua hasa kuigiza kuachana na kazi za sanaa, ama wale wenye majin makubwa kuacha kucheza filamu na kufanya kazi za tamthilia peke yake
Huo ubora hauwezi kuwepo kwasababu filamu ili iwe bora inahitaji pesaUbora na viwango pia upo chini huwezi amini insyuka au shumileta ni za zamani lakini bado zikikuwa bora kuliko hizi za sasa.