Intelijensia ya CHADEMA imefanikiwa kumuhadaa na kumuengua Tundu Lissu kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti na ile ya Mwenyekiti Taifa kisayansi sana

Intelijensia ya CHADEMA imefanikiwa kumuhadaa na kumuengua Tundu Lissu kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti na ile ya Mwenyekiti Taifa kisayansi sana

Kwani uchaguzi ushafanyika?
Chukua hiyo point ya mwisho mpaka baada ya uchaguzi gentleman, itakusaiadia sana kuthibitisha u serious wa inteligensia ya makachero makini wa Chadema dhidi ya huyo muungwana 🐒
 
kwahiyo gentleman,
unataka kusema nani yanga na nani Simba pale chadema?

Labda tuanzie hapo kabla ya kuendelea kueleza mafanikio ya inteligensia ya chadema kumuhadaa Lisu na hatimae kumuacha mikono mitupu baada ya uchaguzi 🐒
CCM ndiyo Simba na Yanga ndiyo kama Chadema hivi, kwahiyo wamekuwa ni vyama vitani
 
Kama TL ni dhaifu kiasi hicho kwanini kelele ni nyingi?
Kwanini furaha isitawale kwavile anakuja asiyeogopwa?
Acha wala pilipili iwawashe wao!
 
Kama TL ni dhaifu kiasi hicho kwanini kelele ni nyingi?
Kwanini furaha isitawale kwavile anakuja asiyeogopwa?
Acha wala pilipili iwawashe wao!
kama mtaalamu katika siasa za vyama vya siasa, nawajibika kutoa maelezo na ufafanuzi wa kina dhidi ya kinachoendelea ndani ya chadema iliyogawanyika kuelekea uchaguzi wao muhimu sana wa ndani.

masuala ya sijui, kelele, furaha, kuogopwa, udhaifu au kuwashwa pilipili, nadhani yawe ni mambo binafsi tu ya wadau moja moja 🐒
 
Dada una Muda wa kumuandalia mmeo chai kweli? Maana mda wote upo JF kumsema Lissu ambae ana mke
 
Chukua hiyo point ya mwisho mpaka baada ya uchaguzi gentleman, itakusaiadia sana kuthibitisha u serious wa inteligensia ya makachero makini wa Chadema dhidi ya huyo muungwana 🐒
Hapo haku intelligence ila ni mipango ovu ya wahuni kadhaa kwenye siasa za Tanzania ndo maana Tanzania chama ni kimoja tu CCM
 
Wewe Mataputapu mbona unahangaika sana na Lisu? Kakukosea nini? Kwanini usiache kura ziamue siku ya uchaguzi?
 
Inaonekana huenda wewe ni mmoja wa watu wanaotaka kumdhuru ila unajikosha ili uonekane kama unampa tahadhari.
Vinginevyo wewe ni lice wa Mbowe.
 
Relax and plz gentleman,
and remove ass in this very honest and not discussion towards chadema elections 🐒
We want ccm to be out

But people who were supposedly to give us trust that they are able to carry us out of this logs

Have shown us their true colours
 
We want ccm to be out

But people who were supposedly to give us trust that they are able to carry us out of this logs

Have shown us their true colours
My friend,
in politics,
as intelligent and visionary leader,
before you decide a corse to follow, you must sit down with your think tanks, discuss and aases merits and demerits of your decision, and by doing that you will be very safe politically speaking.

Lisu has committed a very big political mistake that will make him regret in future 🐒
 
Wewe Mataputapu mbona unahangaika sana na Lisu? Kakukosea nini? Kwanini usiache kura ziamue siku ya uchaguzi?
sasa wwe marupurupu makasiriko ni ya nini kwenye ukweli bayana kama huu 🐒

uchaguzi utafanyika tu,
chukua hiyo kama marking scheme 🐒
 
Inaonekana huenda wewe ni mmoja wa watu wanaotaka kumdhuru ila unajikosha ili uonekane kama unampa tahadhari.
Vinginevyo wewe ni lice wa Mbowe.
Gentleman,
wanaotaka kumdhuru si hao ambao wanamuhadaa na yeye anawaamini kweli kweli na kuwakumbatia, kumbe wanamleta na kumsogeza karibu yao zaidi ili ajisahau...

maskini ya Mungu wanampumbaza kisayansi na kumpotezea uelekeo kabsaa,

I can confirm to you, hivi sasa wanamshauri ajiengue chadema, lakini pia hao hao miongoni mwao wanampamba agombee uenyekiti, ili
atakaposhindwa kwa fedheha sasa wamshauri kisayansi, ahamie chama kisicho na wafuasi wengi, mathalani CHAUMA ili aonyeshe uma kua ana watu, kumbe maskini ni mkakati tu wa kumlaliza kisiasa 🐒
 
Back
Top Bottom