Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ndiyo Simba na Yanga ndiyo kama Chadema hivi, kwahiyo wamekuwa ni vyama vitanikwahiyo gentleman,
unataka kusema nani yanga na nani Simba pale chadema?
Labda tuanzie hapo kabla ya kuendelea kueleza mafanikio ya inteligensia ya chadema kumuhadaa Lisu na hatimae kumuacha mikono mitupu baada ya uchaguzi 🐒
kama mtaalamu katika siasa za vyama vya siasa, nawajibika kutoa maelezo na ufafanuzi wa kina dhidi ya kinachoendelea ndani ya chadema iliyogawanyika kuelekea uchaguzi wao muhimu sana wa ndani.Kama TL ni dhaifu kiasi hicho kwanini kelele ni nyingi?
Kwanini furaha isitawale kwavile anakuja asiyeogopwa?
Acha wala pilipili iwawashe wao!
Hapo haku intelligence ila ni mipango ovu ya wahuni kadhaa kwenye siasa za Tanzania ndo maana Tanzania chama ni kimoja tu CCMChukua hiyo point ya mwisho mpaka baada ya uchaguzi gentleman, itakusaiadia sana kuthibitisha u serious wa inteligensia ya makachero makini wa Chadema dhidi ya huyo muungwana 🐒
We want ccm to be outRelax and plz gentleman,
and remove ass in this very honest and not discussion towards chadema elections 🐒
My friend,We want ccm to be out
But people who were supposedly to give us trust that they are able to carry us out of this logs
Have shown us their true colours
sasa wwe marupurupu makasiriko ni ya nini kwenye ukweli bayana kama huu 🐒Wewe Mataputapu mbona unahangaika sana na Lisu? Kakukosea nini? Kwanini usiache kura ziamue siku ya uchaguzi?
Gentleman,Inaonekana huenda wewe ni mmoja wa watu wanaotaka kumdhuru ila unajikosha ili uonekane kama unampa tahadhari.
Vinginevyo wewe ni lice wa Mbowe.
Unamletea mwenguaji?hapa ni mambo ya siasa tu gentleman na si vinginevyo, kua makini na zaidi sana kua mustaarabu itakusaiadia sana 🐒
Akikosa ndiyo furaha yetu CCM, tumuache aenguliwe basi. Kuandika kila dk 5 habari zake ni kumuongezea umaarufu, japo anao tayari.Kwa sasa itakuwa anabubujikwa na machozi ya majuto na huzuni kabla hata ya uchaguzi kufanyika hapo mwakani.