Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
But mmoja wa his son aameshindwa shule huko USA mara mbili na alikamatwa kwa plagiarism na kisha akasusa shulekwahakika ni kijana wake wa kiume,yuko mafunzoni ya kijeshi US au km karudi atakua yuko kitengo nyeti Kigali
Mbele ya kagame ni kosa kwakuwa unafifilisha slogan ya mauaji ya kimbali amayo kwa PAKA ni mtaji wa kidiplomasiaSijakuelewa Mkuu, kwamba kusema waliouwawa sio Watutsi pekee ni kosa?
You can fool some people sometimes........Jamaa ameisharekebishwa na amekubali kurekebika!!msiwe mnaparamia paramia hovyo...
Utawala wa kurithishana doesnt work everywhere. Kainerugaba alitakiwa kutafuta shughuli nyingineHa
Halafu kuna General Mhoozi Kainerugaba anapiga jaramba kuchukua nafasi ya Baba wakati utakapowadia
Umenikumbusha kilichompata Umaru Dikko, alopata kuwa waziri wa Uchukuzi wa Nigeria 1979-1983 enzi za Rais Shehu Shagari, jinsi alivyo rudishwa nyumbani "Kimafia"Paul Rusesabina aliyekua Manager wa Hotel Rwanda akiwaokoa Watutsi wasivamiwe na kuchinjwa na Interahamwe hatimaye amefikishwa mbele ya sheria kwa makosa ya kuhusika na njama za mauji hayo hayo.
Baada ya filamu ya Hotel Rwanda kueleza kisa cha Rusesabina, wakati wote dunia ilimuona kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha ya makumi ya Watutsi wasio na hatia waliokimbilia Hotel Rwanda hadi pale uchunguzi ulipofanyika na kugundua naye alikua mmoja wa walioshiriki kutekeleza genocide ile. Suala kama ana hatia au la mahakama itaamua lakini kilichoacha watu midomo wazi ni namna alivyofikishwa Rwanda, maana alikua akiishi Ubelgiji na alishachukua urai wa huko.
Inasemekana alikua Dubai na alidanganywa kupanda ndege ambayo labda aliamini inaenda sehemu nyingine. Kuja kutahamaki anajikuta anashuka Kigali Airport na pingu zikimsubiri!. Kabda ya hapo kuna jamaa wa Kinyarwanda aliandika makala akisema alijipa jukumu la kufuatilia nyendo za Rusesabagina duniani kote na alifanya hivyo kwa miaka 15 na kwa kukamatwa kwa Paul Rusesabagina basi ametimiza kazi yake akiwa kama Mzalendo wa nchi yake! Maofisa wa Rwanda wanasema jamaa amerudi mwenyewe kwa hiyari yake jambo ambalo ndugu wanalikanusha wakidai kua ametekwa, na sababu ni kwamba alianza harakati za kumuondoa madarakani Rais Kagame kwa kuongoza kundi la FNL ambalo Kigali inasema ni lakigaidi.
Serikali ya rais PK kama alivyo yeye mwenyewe ina mkono mrefu na wanamsemo wao kua "There is a price to pay in betraying Rwanda" na kwamba hicho ndio kilichomkuta Paul Rusesabagina.
Kila jambo lina mwisho wake. Eeh Mwenyeenzi nipe fursa ya kushuhudia anguko la unafiki na ufedhuri huushujaa kumbe naye ailikuwa "mdhamini" wa mauaji na msaliti wa nchi yake! (Kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu jamaa hasa pale unapoona kiongozi anapewa support kubwa na mataifa ya magharibi na Marekani
Ni kweli Mkuu, intelijensia yao lazima ipewe heko.Umenikumbusha kilichompata Umaru Dikko, alopata kuwa waziri wa Uchukuzi wa Nigeria 1979-1983 enzi za Rais Shehu Shagari, jinsi alivyo rudishwa nyumbani "Kimafia"
Kwa hakika Intelijensia ya Rwanda iko vzr na hasa mlengwa akiwa against PK....
Lakini wote ni Wanyarwanda na walipitia the same tragedy, kwanini iwe hivyo?!Mbele ya kagame ni kosa kwakuwa unafifilisha slogan ya mauaji ya kimbali amayo kwa PAKA ni mtaji wa kidiplomasia
Huo ndio upande wa sarafu aliouchagua kagame. Rusesabagina amekuwa traped kama alivyonyongwa col.KaregeyaLak
Lakini wote ni Wanyarwanda na walipitia the same tragedy, kwanini iwe hivyo?!
Dah! Its so sad😣😣😣Huo ndio upande wa sarafu aliouchagua kagame. Rusesabagina amekuwa traped kama alivyonyongwa col.Karegeya
Kama hauna ajira ni wewe tuDuh tumefikaje huko au ndo stress za ukosefu wa ajira
Sometime in April not this timeKabisa Mkuu, wenzetu wametuacha sana kwenye kila fani. Unajua hata ile 'This time in April' aliyocheza Idris Elba nayo ni kiwango na yenye kukuweka roho juu wakati wote
Shukran kwa kunisahihisha MkuuSometime in April not this time
thibitisha kuwa PR alihusikaWazungu wakampa uraia, akapewa tuzo nyingi kama shujaa kumbe naye ailikuwa "mdhamini" wa mauaji na msaliti wa nchi yake! (Kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu jamaa hasa pale unapoona kiongozi anapewa support kubwa na mataifa ya magharibi na Marekani) Ingekuwa Tanzania Paul Rusesabagina angekuwa kiongozi wa chama cha siasa au NGO ya kutetea Haki za raia, na hata urais angegombea tu, ila kwa Rwanda ukiisaliti nchi na kuwatumikia "mabeberu" lazima wakuwinde tu!
View attachment 1568411
tusimsahau director wa movie pia kaplay part kubwa sanaIla tukitoka nje ya mada wazee, huyo muigizaji Don C ni nguli ki noma.
Filamu ya Hotel Rwanda ukianza kuiangalia, ni lazima utaing'ang'ania bila ya kupepesa macho kwingine hadi mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Kazi kweli kweli, kwa hiyo Don Cheadle ndio alipaswa kukamatwa, akiwa anaigiza ama?Mkuu Acha uongo basi, aliyeact kama Paul Rusesabagina ni Don Cheadle
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Rwanda ni uonevu tu, mahakama ya Arusha ina kazi gani?Rwanda wakiamini mtu fulani anahatarisha usalama wa nchi yao basi ajue hayuko salama popote pale alipo duniani. Nakumbuka miaka ya 1980s Nigeria walijaribu kumteka aliyekua waziri wao wa mambo ya nje akakimbila Uk lakini issue ika backfire airport
Kuna wakati Kigali iliilaumu mahakama hiyo kwa kuchukua muda mrefu kusikiliza kesi ambazo wao walikua wanaamini ushahidi wqke uko wazi kabisaRwanda ni uonevu tu, mahakama ya Arusha ina kazi gani?
Ndo maana nikasema kama hujawahi kusoma habari za maprince wa saud,waweza dhania ni kitu hakiwezekanini vigumu sana kubadili route ya ndege kama hakuna hitilafu au tishio la kigaidi