Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

kwahiyo kumbe humo kiwandani kwa sasa kuna wanajeshi wa Ukraine na wale wa Urusi wakiwa wamekwama

halafu hicho kiwanda kilijengwa toka enzi za USSR itakuaje mrusi ashindwe kuzijua njia za siri za kutokea ama kuingikia


#chai
 
mstaafu ndio kaenda kuwaonyesha Wajeda njia za Siri hapo kiwandani Ina maana wao walikuwa hawazijui!? Kwani hao Wajeda sio wenyewe wa Mauripol!? Na hizo njia zilitengenezwa kwa matumizi gani!? Na Kama kweli zipo basi itakuwa zilitengenezwa kwa kusudi la kuzitumia wakati Kama huu, Sasa vipi jeshi la ulinzi wa eneo lisijue!?
"Ulishatuzoesha kutupiga kamba lakini Leo umetupiga vitanzi vya kunyongea"
 
Na wameanza kukomboa baadhi ya Vijiji
 
Unapenda sana West world kama vile ni dini yako. Hivi Russia hawawezi kulipua hako kaeneo. Kwa akili yako???
 
Mbaya zaidi hicho kiwanda Urusi wanakijua A-Z maana walikijenga pamoja enzi za Soviet.
 
Lakini UKRAINE anashinda hii OP

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na mimi tupo ubashiri wako hautatimia.Ikifika wamepewa siku 3 kuanzia leo hadi Jumamosi ambayo ni siku ya mwisho waliyopewa kuondoa raia kiwandani hapo utaona kitakachotokea pale.Baada ya Zelensky kulialia bado wapo raia Putin kaagiza wasimamishe kuwapa muda hadi jumamosi saa 12 wawe wameondoka
 
Kwa hiyo Tshs ndio itachukua usukani. Wapiga ramli tuambieni sasa.
 
Huyu jamaa atakua pr wa NYT wakueneza propaganda hapo Russia maana sio kwa chuki hizi kila thread hhhh
 
Unapoteza muda wako kuandika porojo ambazo hazina maana yyte kwa ao Ukraine maana kipigo Bado kinaendelea
 
Hata mwanzo wa vita hii mikwara ilikuwepo ya kuamrisha Askari waweke silaha chini,mara mkwara wa atakaesaidia silaha Ukraine atakiona cha moto,mara msafara wa km 64 kuelekea Kyiv,na katika mikwara yote hiyo hakuna cha maana Putin alifanya.Jumamosi bado masaa kadhaa tu ifike,nitarudi kukumbusha hapa,hakuna chochote atafanya.Tulishamzoea na mikwara yake mbuzi [emoji846]
 
Kuanguka Kwa US dollar sio Leo wala kesho na pengine tunaweza tusishuhudie Sisi Bali watoto au wajukuu zetu. Hivi unafahamu kwamba tangu Russia avamie Ukraine Dola ya Marekani ndo imeendelea kuimarika kushinda sarafu yoyote Ile si Euro wala Yen ya Japan?!
Why the turbo-charged US dollar is causing headaches around the world

Bwana Utam
 
Mbona hicho kiwanda kimepigwa Sana mabomu tena kimepigwa mpaka zile Bunker buster bombs,Russia wanalazimisha jamaa wajisalimishe lakini wamegoma na inavyoonekana warusi wanaogopa kuingia humo kiwandani kuzichapa na wanajeshi wa Ukraine.
Nahisi hii ni mara ya tano sasa au zaidi Russia anatoa onyo Kwa hao wanajeshi wajisalimishe lakini wamegoma

https://www.google.com/amp/s/amp.sc...-bunker-busters-mariupol-steel-plant-fortress
 
Siko hapa kuaminiwa na asiyetaka kuamini niko hapa kuelimisha ambaye hataki simlazimishi hata kidogo
kweli kbs , mijitu imeweka ushabiki haitaki hata kuelewa kuwa Urusi kuvamia Ukraine itakuambia ni Propaganda za west , tuna kizaz cha hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…