View attachment 2212239
Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema ,
Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke.
Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa, wale wanajeshi wa Ukraine walijitolea muhanga na hivyo kuwa tayari kwa lolote.
Lengo lilikuwa ni kusimamisha mapigano kwa muda kidogo ili mipango mingine iendelee.
Russia akanasa, akawa yupo busy kupazunguka pale na kuimarisha ulinzi. Niliwahi kusoma kundi moja la UKRAINIAN WAR UPDATES kuna mchmbuzi anaitwa
Thadeusi Musembi alieleza jambo week iliyopita kuwa Ukraine wanavyosogea kutokea Izyum ili kuelekea Mariupol, itawalazimisha Russia kujaza wsnajeshi pale Mariupol na hivyo kuachia maeneo mengine.
Sasa naona hapa
Ndicho kilichotokea Russia akawajaza wanajeshi pale Mariupol akiendelea kukizunguka kile kiwanda na kulinda ili hata inzi wasitoke.
Tangu kuanza kwa wiki hii Russia akaanza kuonekana na uhakika na ushindi wa pale Azovstal, kumbe kachezewa akili, katengenezewa mfanyakazi mstaafu wa kile kiwanda na kwenda kuwapa siri kuwa kuna njia mpya za siri zilizomo mule kiwandani ambazo Ukraine soldiers wamepanga kuzitumia kutoroka. Njia hizo ni kweli zipo, Russia wakafanya ujasusi wao juu ya ile taarifa wakajiridhisha kuwa ni kweli. Masikini hata mtoa taarifa yule hakujua kuwa na yeye amepangwa tu.
Russia akaamua kimya kimya kuingiza majeshi yake mengi humo ndani na kwenye zile njia za siri za ardhini.
Kilichofuata ndiyo kile mlichosikia kuwa mawasiliano na askari wa Ukraine hayapo tena kwani hawafikiki kwa communication yoyote, kumbe hapo tayari watu wakikuwa busy kuwapokea wageni wao. Russia naye alipoona hapati mawasiliano ya wanajeshi wake ndipo akaanza kurusha makombora kushambulia maeneo yenye njia za siri
Britanicca