Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

unahisi alikofikia akiachwa ndo haez dondoka , ndio maana hamuendelei ukipata buku unamdharau boss et huna shida
 
taarifa zako tunazo kwamba kuna kijana wa kirusi alifanya yake kwako. mpaka leo umekuwa na chuki za ajabu na warusi
mbona upo kishabik zaid , unanufaika na nn kwa Urusi kias kwamb hutak kusikia jipya
 
Rubbish,eti wamejitoa muhanga!Wale wameenda kujificha na wakachukua na raia as human shield!
Mtu aliyejitoa muhanga anajirekodi video akiomba msaada Kwa UN wawasaidie watoke salama[emoji3]!
You are full of crap!
mipango , sio ww huna hata mpango wa kujenga flat , utaeza mipango ya vita ? au unahis vita ni kama movie zenu za KOMANDO KIPENSI
 
ebu kosoa taarifa yake kwa hoja , kumshambulia yy personal ni kuonesha utoto na kutokomaa kweny ujengaj hoja , wapumbav ndo wanasikiliza huo undez wako , humu TUNAJENGA HOJA SIO KUSHUSHIANA HESHIMA
 
Amekosa mabasha twita amehamia Jf
kwahiyo humu ni sehemu ya kutafuta mabash ? moderators walione hili , mnapotezea heshima ya jf , jenga hoja na sio matusi , ukiona kichwan yanakuja matus badala ya hoja juwa kuwa una upeo mfupi kwenye hilo jambo so sio vzr kuendelea kuonesha utopolo wak hapa
 
kwan ikianguka ndo USA itaanguka kiuchumi ? Mbona China anasurvive ?
 
watutsi wanalia mpk kesho , je walishindwa vita ?
 
kwahiyo kumbe humo kiwandani kwa sasa kuna wanajeshi wa Ukraine na wale wa Urusi wakiwa wamekwama

halafu hicho kiwanda kilijengwa toka enzi za USSR itakuaje mrusi ashindwe kuzijua njia za siri za kutokea ama kuingikia


#chai
so kama walijenga ndo hakuna maboresho ? pia kumbuka Ukraine ilikuwa inajiendesha ndan ya shirikisho so kumbu kumbu nyingi zipo ndan ya ukraine , mfumo wenu wa utendaj Tanzania usikupoteze maboya
 
so kama walijenga ndo hakuna maboresho ? pia kumbuka Ukraine ilikuwa inajiendesha ndan ya shirikisho so kumbu kumbu nyingi zipo ndan ya ukraine , mfumo wenu wa utendaj Tanzania usikupoteze maboya
== bwana mdogo
 
Ukraine ilikuwa inajitawala ndan ya USSR so kumbu kumbu zote zilikuwa serikali kuu ya Ukraine bali maswala kadhaa ndo yalikuwa ya USSR km Tanganyika na Zanzibar so usizani mambo yote ya Zanzibar sisi serikali kuu tunayajua
 
Mbaya zaidi hicho kiwanda Urusi wanakijua A-Z maana walikijenga pamoja enzi za Soviet.
hahaaa Ukraine lilikuwa jimbo ambalo lilikuwa linajiendesha kwa 90% so kila kitu kilikwepo kyiv na watendaj tu ndo walikuja huko Ukraine kutokea Moscow
 
Endelea kuandika putin anastasia kichapo tu
 
Wachambuzi makanjanja sio kwenye mpira tu hata kwenye hii vita makanjanja ni wengi sana
 
Upo sahihi kabisa,hawa Pro Russia wanapaswa kuelewa why hao wanajeshi wamekuwa na hiyo jeuri mpaka leo,ni kwamba wanajiamini huko ndani na mwenye jeuri awafuate humo akione cha moto
 
ebu kosoa taarifa yake kwa hoja , kumshambulia yy personal ni kuonesha utoto na kutokomaa kweny ujengaj hoja , wapumbav ndo wanasikiliza huo undez wako , humu TUNAJENGA HOJA SIO KUSHUSHIANA HESHIMA
Wewe anzia hapo kwenye kukosoa hoja, mimi nishatoka huko mpaka nakuja kumwambia hivi nina zaidi ya mwaka namkosoa kwa hoja ila sasa nimejua haitosaidia.

Wapumbavu ndio hukosoa hoja pekee na huku wakijua mwenye hoja ana tatizo. Ikiwa mtu ni mlevi ndio maana akaanguka, mpumbavu atamueleza jinsi alivyoanguka ila mwerevu atamweleza namna alivyokunywa pombe kupita kiasi. Tatizo hapo linakuwa ni ulevi
 
mipango , sio ww huna hata mpango wa kujenga flat , utaeza mipango ya vita ? au unahis vita ni kama movie zenu za KOMANDO KIPENSI
Unaonekana bado teenager kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…