secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Uzito Gani mkuu au Bora liende?Ni msimu wa ndondi!!
Members wa JF Intelligent businessman na Half american (nusu albino) hatimaye wamekubaliana kutwanganq ulingono mara baada ya tambo nyingi jukwaani.
Bwana Intelligent businessman kinachompa kiburi ni movies za kijapani na kikorea ambazo huziangalia mara kwa mara. Yeye anaamini kufuatilia filamu pekee bila ya mazoezi kumemfanya kuwa bora.
Kwa upande mwingine Half american anapewa kiburi na tabia yake ya ukorofi inayomfanya aogopwe na watoto wake na watoto wa majirani, anaamini kuwa hata members wa JF watamwogopa vile vile.
Pambano lilitakiwa kufanyika siku kadhaa zilizopota baina ya vijana wenye damu changa Monetary doctor na Poor Brain limeahirishwa kwani vijana hawa wote walikuwa wanakabiliwa na UE.
Natumai mabondia wote hawa wanamashabiki wao humu hivyo ni muhimu Kila mpiganaji apewe neno la kutia moyo ilikusudi asiingie mitini kwa hofu.
Ni jambo la kusubiri na kuona π.
No malice to nobody πNiko tayari kumpasua huyo nusu albino a k.a ndebile Half american
Kwa hili pambano bora liende tu so unajua wana vitambi kama Peter Msechu!?Uzito Gani mkuu au Bora liende?
Memento moriI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Half american you're the next victim
Acha kuni chafua kenge wee, ka vipi ungana nae muwe wawili niwa toe ngebeKwa hili pambano bora liende tu so unajua wana vitambi kama Peter Msechu!?
Momento vivereMemento mori
Hahaha, mkuu Mimi nawaogopa watu wenye mapigo kama ya Jet lee hivyo nisamehe π.Acha kuni chafua kenge wee, ka vipi ungana nae muwe wawili niwa toe ngebe
Damu changa sio kweli π€ unakuta hata ni rika na baba yako bwasheeDamu changa za jamii forum Maxence Melo chukua awa vijana wawe moderator wako active sana
We mzee wangu awezi waza akili za mapambano na ue hawa ni teenage na cycle yao...Damu changa sio kweli π€ unakuta hata ni rika na baba yako bwashee
Wakubwa tu mkuu, mda mwingine hakuna haja ya kukaza sana fuvu maisha ni haya hayaWe mzee wangu awezi waza akili za mapambano na ue hawa ni teenage na cycle yao...
HahahDamu changa sio kweli π€ unakuta hata ni rika na baba yako bwashee