International Schools zina nini cha zaidi?

Nenda Google andika strathmore secondary. Au nenda utub.
 
Hana akili. Anachoongelea hapa ni English medium schools siyo international schools. International schools kwanza hazifuati mtaala wa Tanzania. Na hawahitaji IELET's kwenda kusoma vyuo vya Europe
 
Bado unaupeo mdogo sana
Unafikiri connection zinapatikana kirahis pole sana

Hizi shule hazigawi connection but automatic kuna watu unasoma nao tayari uko mbeleni kwenye maisha wanakupa connection

Hata uwe tajiri vipi kuna mambo unahitaji connection ili uyapate na uyakamilishe

Wewe kama ungekua tajiri usingekuja kulalamika huku kuhusu hizo shule
 
Hivi unazijua international schools kweli.Unaongelea English medium schools.International schools zinafundisha watoto toka mataifa mbalimbali na hutumia mitaala ya kimataifa kama Cambridge.Hizo shule wanazimudu watanzania wachache.Kwa Dar kuna IST iko Upanga,Heaven of peace iko Mbuyuni Salasala,kuna Aghakan nk.hizi za st Marys,Anne Marie ,Tusiime ni local tu ila hutumia kiingereza kuanzia chekechea.
 
Watakwambia una wivu. Tafuta hela.

Kimsingi wanachoweza ni kuongea kingereza tu.

Maana wengine hata kufua nguo zao na chupi zao hawawezi.
 
Mkuu unasomesha mwanao apate akili au apate connection?
 
Pata pesa halafu peleka mwanao hata mmoja tu kwa mwaka mmoja tu upate first hand experience.....
Yani niwe naingiza 500M ya tzs kwa mwaka after taxes wanangu waende soma vishule vya ajabu ajabu NEVER....
50M is peanuts, will definitely invest on my kids
 
Unazijua international schools kwanza? Imagine ulinganishe local hotel na 5 stars hotel!!!!
 
Watakwambia una wivu. Tafuta hela.

Kimsingi wanachoweza ni kuongea kingereza tu.

Maana wengine hata kufua nguo zao na chupi zao hawawezi.
Sasa kufua chupi unafundishwa shule?Dokta Mzima unajizima data.Tunatamani sana watoto wetu wakasome huko lakini ndio vile Tena masikini tunapenda maneno ya faraja.Hakuna mzazi mwenye akili timamu ana visenti ampeleke mwanae kwenye wanafunzi 300 darasani Mwalimu mmoja tu.Kidumu na chelewa sio shule ni vituo vya makuzi.Mitambo ya CCM kuzalisha wajinga wengi.
 
IST iko oysterbay
 
Hiyo international school ina kitu gani cha tofauti sana?
1.Walimu wa hizo International Schools wote lazima wawe na shahada,tena inayoendana na masomo utakayoenda kufundisha.
-Walimu wa Masomo ya Sayansi huwa ni wahandisi

2.Wana maabala ambazo sisi hata vyuoni hatuna.

3.Hawa hujikita kwenye mafunzo ya vitendo kuliko siye.

4.Wanatumia mitaala ya kimataifa ya oxford au Cambridge .

5.Wana maeneo ya kimichezo yenye hadhi.

Yani usije fananisha hao jamaa na siye wa kujifunza vita vya majimaji.
Yani unaringanisha Paso na Bugatti...🀯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…