BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
- Thread starter
- #41
Madokta uchwara ndio wengi zaidi kuliko walimu uchwara. 😹BICHWA KOMWE - mwalimu uchwara pia ni Dokta Uchwara 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madokta uchwara ndio wengi zaidi kuliko walimu uchwara. 😹BICHWA KOMWE - mwalimu uchwara pia ni Dokta Uchwara 😀
Nenda Google andika strathmore secondary. Au nenda utub.Yaani kujifunza muziki tu mpaka ukasome INTERNATIONAL SCHOOL na ulipie milioni hamsini? Sijaona cha ajabu hapo, hizi ni delusions of grandeur tu.
Kwamba tuzipe heshima hizo shule kwa KUZISIKIA tu?
Kindly avail us with some statistical data as to the quality of education.
Hana akili. Anachoongelea hapa ni English medium schools siyo international schools. International schools kwanza hazifuati mtaala wa Tanzania. Na hawahitaji IELET's kwenda kusoma vyuo vya EuropeANAANDIKA BICHWA KOMWE:-
Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo?
Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini je, kile wanachofundishwa wale watoto kina hadhi gani ya kulipiwa mamilioni?
Hapa ieleweke vema kwamba siungi mkono mashule ya kata ambayo kimsingi ni mashule butu yasiyo na sifa wala vigezo vya kuwa shule. Mashule ya kata ni maeneo maalumu ambayo watoto wanaenda kujazwa ujinga na kupoteza wakati.
Hizi international schools pia ni kama mashule ya kata yaliyochangamka tu isipokuwa pale unaenda kununua KIINGEREZA kwa milioni hamsini kwa mwaka.
Zaidi sana mtoto atapewa midoli ya kuchezea na mabembea ya kuning'inia. Of course bila kusahau CHETI CHA KIINGEREZA.
Linapokuja swala la maarifa ni kitu kingine kabisa. Hawa watoto ni makanjanja tu kama watoto wengine wanaosoma kwenye mashule ya kata.
Mpaka sasa sijaona ni kwanini mtoto akanunue Kiingereza kwa shilingi milioni hamsini wakati mtu anaweza kujifunza Kiingereza hata chini ya mti na akabukua vema tu kama makanjanja wengine akina Dayamondi waliojifunza Vingereza magetoni.
Tukiwawezesha hawa walimu wetu uchwara wa shule za Kata wataweza kufundisha kizungu vizuri tu.
Tuanze kudahili walimu ambao wana ufaulu mkubwa badala ya kudahili vilaza wenye MADIVISHENI FOO ati ndio wakawe walimu!
Hili lizingatiwe sana.
Bado unaupeo mdogo sanaConnection gani bana 🤣🤣🤣
Kama unaweza kulipa milioni hamsini kwa mwaka, unashindwa vipi kumpa mwanao connection mpaka umpeleke INTERNATIONAL SCHOOL?
Hilo ndilo lengo la hizo shule? Kugawa "connections"?
Mambo ya connections ni nadharia za watu masikini tu.
Ukiwa tajiri na unaweza kulipa ada ya milioni hamsini kwa mwaka, hauhitaji connection yoyote.
Achana na nadharia za makapuku.
Hivi unazijua international schools kweli.Unaongelea English medium schools.International schools zinafundisha watoto toka mataifa mbalimbali na hutumia mitaala ya kimataifa kama Cambridge.Hizo shule wanazimudu watanzania wachache.Kwa Dar kuna IST iko Upanga,Heaven of peace iko Mbuyuni Salasala,kuna Aghakan nk.hizi za st Marys,Anne Marie ,Tusiime ni local tu ila hutumia kiingereza kuanzia chekechea.ANAANDIKA BICHWA KOMWE:-
Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo?
Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini je, kile wanachofundishwa wale watoto kina hadhi gani ya kulipiwa mamilioni?
Hapa ieleweke vema kwamba siungi mkono mashule ya kata ambayo kimsingi ni mashule butu yasiyo na sifa wala vigezo vya kuwa shule. Mashule ya kata ni maeneo maalumu ambayo watoto wanaenda kujazwa ujinga na kupoteza wakati.
Hizi international schools pia ni kama mashule ya kata yaliyochangamka tu isipokuwa pale unaenda kununua KIINGEREZA kwa milioni hamsini kwa mwaka.
Zaidi sana mtoto atapewa midoli ya kuchezea na mabembea ya kuning'inia. Of course bila kusahau CHETI CHA KIINGEREZA.
Linapokuja swala la maarifa ni kitu kingine kabisa. Hawa watoto ni makanjanja tu kama watoto wengine wanaosoma kwenye mashule ya kata.
Mpaka sasa sijaona ni kwanini mtoto akanunue Kiingereza kwa shilingi milioni hamsini wakati mtu anaweza kujifunza Kiingereza hata chini ya mti na akabukua vema tu kama makanjanja wengine akina Dayamondi waliojifunza Vingereza magetoni.
Tukiwawezesha hawa walimu wetu uchwara wa shule za Kata wataweza kufundisha kizungu vizuri tu.
Tuanze kudahili walimu ambao wana ufaulu mkubwa badala ya kudahili vilaza wenye MADIVISHENI FOO ati ndio wakawe walimu!
Hili lizingatiwe sana.
Watakwambia una wivu. Tafuta hela.ANAANDIKA BICHWA KOMWE:-

Mkuu unasomesha mwanao apate akili au apate connection?Bado unaupeo mdogo sana
Unafikiri connection zinapatikana kirahis pole sana
Hizi shule hazigawi connection but automatic kuna watu unasoma nao tayari uko mbeleni kwenye maisha wanakupa connection
Hata uwe tajiri vipi kuna mambo unahitaji connection ili uyapate na uyakamilishe
Wewe kama ungekua tajiri usingekuja kulalamika huku kuhusu hizo shule
Wenye akili wapo wengi mtaani wanatembea na bahashaMkuu unasomesha mwanao apate akili au apate connection?
Elimu inaenda beyond kupata vyeti vizuri ndo kitu ambacho watu wengi hawajui hasa watanzaniaMkuu unasomesha mwanao apate akili au apate connection?
Elimu inaenda beyond kupata vyeti vizuri ndo kitu ambacho watu wengi hawajui hasa watanzani
Ushoga ni malezi mabovu, hatu kwetu uswazi wapo. Ninachojua hakuna nchi yeyote iloyohalalisha ushoga mashuleni zaidi ya kaburu, cna uhakika kuhusu nyingine. Ila kwetu afrika mashariki, hatuna ushoga mashuleniAda yake ni kiasi gani? Na vipi wanazuiaje mtoto wa kiume asije kuwa shoga?
Sasa kufua chupi unafundishwa shule?Dokta Mzima unajizima data.Tunatamani sana watoto wetu wakasome huko lakini ndio vile Tena masikini tunapenda maneno ya faraja.Hakuna mzazi mwenye akili timamu ana visenti ampeleke mwanae kwenye wanafunzi 300 darasani Mwalimu mmoja tu.Kidumu na chelewa sio shule ni vituo vya makuzi.Mitambo ya CCM kuzalisha wajinga wengi.Watakwambia una wivu. Tafuta hela.
Kimsingi wanachoweza ni kuongea kingereza tu.
Maana wengine hata kufua nguo zao na chupi zao hawawezi.
Maisha ya humu ni feki mkuu hio ina ambatana na fake ID. Mm nahisi wabongo ndo tulivyo tunapenda maigizoWatu wa jF sijui mnajikutaga kina nani??? Unaweza dhani ww ndo maskini usie na fikra uliebaki hapa JF....
Nimeipenda hiiWatu wa jF sijui mnajikutaga kina nani??? Unaweza dhani ww ndo maskini usie na fikra uliebaki hapa JF....
IST iko oysterbayHivi unazijua international schools kweli.Unaongelea English medium schools.International schools zinafundisha watoto toka mataifa mbalimbali na hutumia mitaala ya kimataifa kama Cambridge.Hizo shule wanazimudu watanzania wachache.Kwa Dar kuna IST iko Upanga,Heaven of peace iko Mbuyuni Salasala,kuna Aghakan nk.hizi za st Marys,Anne Marie ,Tusiime ni local tu ila hutumia kiingereza kuanzia chekechea.
1.Walimu wa hizo International Schools wote lazima wawe na shahada,tena inayoendana na masomo utakayoenda kufundisha.Hiyo international school ina kitu gani cha tofauti sana?