Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

Sikulijua hili, kuna nguzo ya TTCL pembeni ya nyumba yetu na ina hayo manyaya juu ilikuwa inatumika zamani kwenye zile Simu ya TTCL.

Ngoja kesho niwaamkie hao TTCL nione watanipangaje maana fiber tu nishajaza fomu inakaribia miezi miwili lakini hata surveyor sijamuona.
 
Havina maana yoyote mkuu
Inategemea na Manufacturer. Na regulator wa mitandao TCRA na TBS ubora. Na kudhibiti uhuni. Kenya gharama za internet ni ghali sna ila fibre cable za Serikali na hizo WIFI gadgets ndio common, na ziko vzr snaaa. Una unga mwezi na speed ni kali. Wao kuna stiff competition.

Tz ni Rushwa tu. Kuanzia kwa Waziri, TCRA na hiyo Fair Competition Commssion, na Hujuma za Voda, Tigo na Airtel (Wame amua kutengeza umoja kama OPEC, now they are no longer competing, wana agree how much to charge). Hawa wadau waki banwa vzr hivyo vifaa ni mkombozi wa Familia kuliko kuwa na minguzo na Miwaya everywhere.

Mf. Issue ya Data kuisha kwa haraka compared to 2020 kurudi nyuma haijibiwi. Voda ukiwauliza, Why? Majibu ni story oooohhhh speed ya 4G ina kula data, Apps nyingi, ooohh automatic updates, huzimi Apps, story kibao, nk utadhani 2020 ni mbali na 1 GB ili kaa. Siku hizi 570 MB ukitumia USB Tethering kwenye PC ni dk 3 tu una MB 00. Hivi TCRA haina utaalamu wa kufanya hii Auditing ya data leakage (Data leakage speed boost)?

Rushwa Rushwa Rushwa. Hawa watu wana hongwa kupitisha charges, vifurushi, hujuma, za makampuni.
 
Ina tegemea na Manufacturer. Na regulator wa mitandao TCRA na TBS ubora. Na kudhibiti uhuni. Kenya gharama za internet ni ghali sna ila fibre cable za Serikali na hizo WIFI gadgets ndio common, na ziko vzr snaaa. Una unga mwezi na speed ni kali. Wao kuna stiff competition.

Hapo kwenye competition nakubaliana na wewe 100%. Sasa hivi vifurushi vya mitandao yote vinakaribia kufanana, inaonekana hawa mabwana wamekaa pamoja wakakubaliana ili watunyonye damu vizuri
 
Ina tegemea na Manufacturer. Na regulator wa mitandao TCRA na TBS ubora. Na kudhibiti uhuni. Kenya gharama za internet ni ghali sna ila fibre cable za Serikali na hizo WIFI gadgets ndio common, na ziko vzr snaaa. Una unga mwezi na speed ni kali. Wao kuna stiff competition.
Tz ni Rushwa tu. Kuanzia kwa Waziri, TCRA na hiyo Fair Competition Commssion, na Hujuma za Voda, Tigo na Airtel (Wame amua kutengeza umoja kama OPEC, now they are no longer competing, wana agree how much to charge). Hawa wadau waki banwa vzr hivyo vifaa ni mkombozi wa Familia kuliko kuwa na minguzo na Miwaya everywhere.
Mf. Issue ya Data kuisha kwa haraka compared to 2020 kurudi nyuma haijibiwi. Voda ukiwauliza, Why? Majibu ni story oooohhhh speed ya 4G ina kula data, Apps nyingi, ooohh automatic updates, huzimi Apps, story kibao, nk utadhani 2020 ni mbali na 1 GB ili kaa. Siku hizi 570 MB ukitumia USB Tethering kwenye PC ni dk 3 tu una MB 00. Hivi TCRA haina utaalamu wa kufanya hii Auditing ya data leakage (Data leakage speed boost)?

Rushwa Rushwa Rushwa. Hawa watu wana hongwa kupitisha charges, vifurushi, hujuma, za makampuni.
Acha kabisa India with Jio, Airtel na kampuni kadhaa wanakupa 40mbps fiber kwa 499 rupees approximately to 15000tshs.... Internet ni basic need ila kwetu huku tunalipishwa kama anasa vile

Excitel anawapa 100mbs kwa 500rupees..
 
Waya ulikuwepo, installation ni 55,000 ila ukiongea nao wanaruhusu vifaa vyako.
Duh!! Miundombinu yake bado ninayo, nadhani hata modem yake nitakuwa nayo!! However, niliacha kuitumia almost 15 years ago!! Vipi, unadhani technology yake itakuwa imeshapitwa na wakati na hivyo kuhitaji new wiring na newer modem technology?!
 
Modem za zamani hazikuwa na wifi ya kutumia wireless kwenye simu, laptop, n.k
 
Duh!! Miundombinu yake bado ninayo, nadhani hata modem yake nitakuwa nayo!! However, niliacha kuitumia almost 15 years ago!! Vipi, unadhani technology yake itakuwa imeshapitwa na wakati na hivyo kuhitaji new wiring na newer modem technology?!
Nafkiri hio ya miaka 15 haina wifi ni zile zinatumia waya moja kwa moja waweza tumia ila ukipata router ya wifi ni much better.

Pia kama unajiweza angalia fiber, ina speed zaidi.
 
Yah, za zamani hazina wifi! In short, kwa dunia ya leo, dah!!
 
Kiukweli pindi tunapozungumzia ADSL tunarudi nyuma katika utandawazi maana hapa tunazungumzia muunganiko wanjia kuanzia MSAN, MDF, CABINET, DP ndipo huduma ifike kwamteja. Hivyo huko kote inapita copper cable ambayo kiuhalisia inabeba 2Mbps - 4Mbps napia Fault zinatokea mara kwamara kutokana na rusting, vandalism nahata radi pindi ikipiga. Kwaushauri nibora 100% uchukue OFC maana ni fault free, latest technology napia inauwezo wakubeba mpaka 1000Mbps.
 
Adsl+ inabeba 24mbps ambayo ndio Ttcl inatumia. Ni tech ya zamani ila bei ni rahisi inayoendana na uchumi wa MTanzania na coverage ni kubwa

Voda wanatumia MW ni tech ya kisasa inafika 10gbps ila kifurushi cha chini ni zaidi ya laki, coverage kubwa tu.

Hio fiber ni mpaka uwe covered, kuna Maeneo mengi dar hayana Fiber, mikoani ndo kabisa hakuna miundombinu, nayo pia Cheapest package ni 55,000.
 
ADSL ya TTCL ni reliable kwa kiasi chake na cheap.. Tumeunga siku ya 10 mpaka sasa.. Package ya 50k na adsl modem 55,000 ofisini kwao...download speed idm almost 1mb per second ... Youtube 720p all the time 1080p 80% of the time... Location Moro town... Changamoto ni mafundi kufanya survey usipojiongeza utasubiri mwezi kimya... Tip hakikisha ujazie fomu ofisini apo apo uwe serious
 
Back
Top Bottom