Bei ya TTCL ndo hio 55000 ongea na fundi akutafutie either kwa mtu ambaye hatumii tena, used, mpya etc.
Mimi kwangu nilinunua Uhuru na msimbazi kwa wale jamaa wanaomwaga mwaga vitu wana ma router kibao ya adsl 5000 mpaka 15000 sema mengi hayana wifi uwe makini.
Then baadae nikaongea na jamaa wa TTCL kuna mtu ali upgrade kwenda fiber alikua hatumii, akaniuzia around 30K, converter nayo ni around 5 mpaka 10k hivi.
Sasa hivi wengi wana upgrade kwenda fiber ongea na watu wa TTCL kupata router ya Adsl sio kazi, huyo jamaa wa 150k anakudalalia.