Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

Sikumbuki ni bei gani. Ilikuja kama zawadi mwaka 2015 baada ya kununua photocopy mashine kutoka eBay. Kuhusu kwamba kuwa na lock ndio sijajua. Nawezaje kuangalia kama ina lock au haina?
Hata sijui mkuu, nafkiri mpaka uconnect na TTCL. Kama huna kazi nayo kuna wadau wanazitafuta sana humu jukwaani.
 
25 kwa mwezi si haba, ukipiga hesabu za 2000 kila siku kwa mwezi ni 60K upumbavu sana bora ulipie hio 25K
Nimeangukia kwenye huu uzi.
Maana najiunga sh 3,000 kila siku halotel.
Halafu napata mb 1475.
Bado kifurushi cha kupiga na message.
Nina pocket wifi ya airtel na voda na zenyewe ni balaa.
Yaani nakufa huku najiona.
 
TNimeangukia kwenye huu uzi.n
Maana najiunga sh 3,000 kila siku halotel.
Halafu napata mb 1475.
Bado kifurushi cha kupiga na message.
Nina pocket wifi ya airtel na voda na zenyewe ni balaa.
Yaani nakufa huku najiona.
Mbadala ni kuhamia huko kwenye monthly plans, huku kwenye mitandao ya simu kuna hatari kwenye lango 😂😂😂
 
Jamani wakuu mwenye namba ya mafundi wa ttcl wa survey wanao patikana mwanza anisaidie maana ofcn kwao nazungushwa tuu hata kuonana na fundi imekua mtihani nataka nifunge mapma ili kipindi Cha mfungo kue na internet home
 
Heshima yenu wakuu.
Ninahitaji kununua router kwa matumizi binafsi, ninatumia mtandao wa tigo
Sina ujuzi wa kujua router ipi inanifaa, kwa nilipiga simu dukani nikaambiwa zipo zinauzwa 140000/= sikutumiwa picha Wala kujua uwezo wake
Nikajaribu kuwasiliana na muuzaji mwingine akaniambia zipo anauza 220000/=
Akanitumia picha ya router hiyo
Msaada unahitajika ipi inanifaa
Chief-Mkwawa
 
Attachments

  • IMG-20230311-WA0010.jpg
    IMG-20230311-WA0010.jpg
    43.6 KB · Views: 29
Heshima yenu wakuu.
Ninahitaji kununua router kwa matumizi binafsi, ninatumia mtandao wa tigo
Sina ujuzi wa kujua router ipi inanifaa, kwa nilipiga simu dukani nikaambiwa zipo zinauzwa 140000/= sikutumiwa picha Wala kujua uwezo wake
Nikajaribu kuwasiliana na muuzaji mwingine akaniambia zipo anauza 220000/=
Akanitumia picha ya router hiyo
Msaada unahitajika ipi inanifaa
Chief-Mkwawa
Kwa 220,000 mkuu hii ni Ghali sana. Sababu hizi

1. Ni Cat 4 lte ina maana ni 4G ya chini zaidi 150mbps, siku hizi mitandao yetu ina lte+ ambayo ni 300mbps ama zaidi kama upo tayari kutoa hio hela ni vyema iwe ni router ya Cat 6 kupanda.

2. Wifi yake ni wifi 4 ina maana speed yake mwisho ni 300mbps ni ya kizamani, Sasa hivi tupo wifi 6, minimum angalau uwe na wifi 5.

3. Ethernet yake ni 10/100mbps nayo pia si nzuri

Kifupi mkuu hio ni lowend router unapigwa bei ndefu. Kitu kizuri pekee nilichokiona kwenye hio router ni antenna 2 za 4g (Mimox2) hii inasaidia router kuconect na minara miwili kwa wakati mmoja ili kufanya network iwe stable, unapokea data minara miwili kwa mpigo.
 
Asante.
Naomba unishauri router nzuri kwa bei nzuri
 
Sijui model ambazo zipo dukani mkuu ila vigezo ndo hivyo
1. Iwe angalau 300mbps (Cat 6 kupanda)
2. Iwe na frequency 3, 7, 20 na 40
3. Iwe na Mimox2 angalau
4. Iwe wifi 5 kupanda

CONTROLA aliwahi nunua around 150k kama kumbukumbu zipo sahihi anaweza tusaidia.

Hio ya Tigo model yake ni ipi?
 
Chief-Mkwawa nasaka router ya matumizi ofisini je hii kwenye picha itanifaa kwa vigezo hivi. Model ni DWR M961
 
Attachments

  • Screenshot_20240127-170545_Chrome.jpg
    Screenshot_20240127-170545_Chrome.jpg
    93.1 KB · Views: 14
Back
Top Bottom