Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Hata sijui mkuu, nafkiri mpaka uconnect na TTCL. Kama huna kazi nayo kuna wadau wanazitafuta sana humu jukwaani.Sikumbuki ni bei gani. Ilikuja kama zawadi mwaka 2015 baada ya kununua photocopy mashine kutoka eBay. Kuhusu kwamba kuwa na lock ndio sijajua. Nawezaje kuangalia kama ina lock au haina?