Internship (Manamba) mashambani Israel?

Internship (Manamba) mashambani Israel?

Ni ajabu sana nyuzi kama hii kuonekana hapa jukwaani!

Je! Kama lisingalitokea tukio lile la kigaidi la HAMAS lililoiingiza Israeli vitani uzi kama huu ungepanda hapa jukwaani na hoja zake hafifu!?

Je! Vifo vya vijana hawa wa Kitanzania vilitokea katika mazingira gani na vilisababishwa na nani!?

Ukisoma katikati ya mistari, utabaini kuwa hoja zake zimetamalaki chuki za kidini, kikabila ama kikanda, na pia ndizo hasa ambazo zimempelekea mpandisha uzi kuja kihivyo. Yeye pamoja na kujaribu kuzunguka kwake kote lakini kashindwa kuficha hisia zake kuhusu "u-Kaskazini" na "u-Mangi"

Watu wenye nia njema na uzalendo kwa nchi yetu ni lazima waungwe mkono. Zinapotokea fursa na vijana wetu wakaenda nchi za ughaibuni, hiyo inakuwa ni faida kwa nchi yetu. Lakini endapo katika nchi hizo kunatokea "political & social instabilities" ambazo zinapelekea madhila fulani kuwatokea vijani wetu, watu kama hawa hawapaswi kualaumiwa na tena kupitia hisia za udini, ukabila ama ukanda wao.
Ukweli lazima usemwe ili mtu akifa msilete janja janja kutafuta huruma kwa watanzania wote kumbe ni nafasi kwa watu binafsi.


Kamsikilize yule mzee wa joshua utaelewa.
 
Joshua Mollel kafanywa kama nyama choma ,wajinga hawa wanapeleka watu kweny vita..

Huyo dalali kupenda pesa wala hana utu, yule wa Urusi nae kauliwa pako kimya.

Maelezo ya mzee yanatosha dogo kajiroga ndio matokeo yake...Walivyokuwa watu wa hovyo Israel wameilist kweny nchi zenye political stability..

Mbona wanaoenda huko Saudia, Oman, Qatar, Kurdistan, hamsemi?

Mashariki ya kati hakuna nchi yenye political stability hata moja.
Muda wowote kina Waka.

Kama vijana wametaka kwa hiyari yao waende wakatafute maisha. Waachwe.
Kwani wao wanaona bora kwenda huko ambapo wengi wanapaogopa kuliko kubaki hapa na kufa kifukara
 
Mbona hata huku tunawatumikisha sana mashambani na migodini. Tembelea mbalali huko kwenye mashamba ya mipunga

Kama ni hvyo kuna shida gani wakiwa manamba huko Israel
Tatizo kule kuna vita siku zote,
Huwa inatulia tu kidogo kisha inaamka tena !
Usalama mdogo !
 
Mbona wanaoenda huko Saudia, Oman, Qatar, Kurdistan, hamsemi?

Mashariki ya kati hakuna nchi yenye political stability hata moja.
Muda wowote kina Waka.

Kama vijana wametaka kwa hiyari yao waende wakatafute maisha. Waachwe.
Kwani wao wanaona bora kwenda huko ambapo wengi wanapaogopa kuliko kubaki hapa na kufa kifukara
Ishu panapotokea mambo kama haya tusianze kugombana maana imefika ni chuki ya kidini kabisa na wala havihusiani.
 
Ooh ok. Huko Mbarali wanarudi Maiti? Jambo hili linasikirisha. Wabunge waunde tume
Dogo hiyo programme ipo zaidi ya miaka minne. Uliishasikia Kila wakienda wanakufa? Imetokea mara moja, tena kitendo cha kigaidi unaleta ngonjera humu? Kwahiyo hutaki waende? Ushamba wa wapi huu!?
 
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Scholarship/internship zina tolewa SUA Kwa wanafunzi wote wenye vigezo ww kama ni darasa la 7B endelea tu kusosola kwa mama kizimkazi
 
Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆

Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Unapata fahari gani kudanganya? Ushawahi fika SUA? Ushawahi skia SUGECO?
 
Hoja ya mtoa mada ijibiwe kwamba mbona wote wanaoenda kule wanatoka Kanda ya Kaskazini tu ? Au kwa sababu Waziri wa elimu anatoka Kanda hiyo ?
Ajibiwe kitu gani wakati hata hao wanaokwenda huko hajatuonesha majina yao, au ushahidi mwingine wowote tujue wapi wanapotoka?

Unataka ajibiwe hisia zake?

Wake up.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Unapata fahari gani kudanganya? Ushawahi fika SUA? Ushawahi skia SUGECO?
Kila kitu kitajulikana yule wa Urusi kafikaje pale mpaka kupigana vita vita ?Ni wa huko kaskazini..

Serikali ikae chin ifuatilie tangu yule wa kwanza...Kuna kitu hapa .

Unafikria kutoka nchi fulani kwenda nyingine kupata kazi kama jeshini ni rahisi tena sehemu nyeti kweny usalama wa taifa.
 
Watanzania upeo wao mdogo Tangu enzi za chief mangungo wa msovero achana na kichwa maji icho
Wapo watanzania wengi sana wenye akili nzuri.
Changamoto kubwa ni kwamba watu wenye akili ndogo wameachwa wakapata madaraka, nafasi za maamuzi na majukwaa ya kuzungumzia kuliko wale wenye akili kubwa.
Sasa, kwa kuwa akili ndogo huogopa akili kubwa, watazidi kutafuta akili ndogo zaidi kuwarithi na matokeo yake ni kuangamia kwa taifa.
Jambo la kufanya ni kutumia fursa ya teknolojia ya habari kwa makini kutambua wenye akili na wasio nazo (siyo rahisi lakini wenye akili wanaweza).
Watu wenye akili waunganishwe bila kujali kabila, jinsia, umri, kazi yake na makazi(popote alipo duniani) na hatimaye wafanye jambo kwa manufaa ya vizazi vijavyo na mustakabali mwema wa taifa.
 
Hoja ya mtoa mada ijibiwe kwamba mbona wote wanaoenda kule wanatoka Kanda ya Kaskazini tu ? Au kwa sababu Waziri wa elimu anatoka Kanda hiyo ?
Labda kuna kanda ambazo hazitaki kwenda kwa "mayahudi".
 
Back
Top Bottom