Internship (Manamba) mashambani Israel?

Internship (Manamba) mashambani Israel?

We acha tu! Mengi yatajulikana. Eti wanasema tusichimbe, kwani hilo ni suala la Serikali.

Mitandao raha, Inachimbua mpaka habari za mafichoni.
Degree ya Kilimo- kwenda mashambani kuvuna mazao. Pazuri hapo! Mi sisemi.
Kwa uwezo wa fikra hasi kwenye wachangiaji wengi humu sidhani kama wanajua degree ya kilimo/ mifugo inahusika na nini na hata kama SUGECO wakitoa maelezo hawawezi kuwaelewa.. Degree ya kilimo ni zaidi ya cheti na ni zaidi ya class ya degree yako. Lazima ujue a-z ya operations za kilimo/ufugaji na hakuna darasa linaloweza kukupa ujuzi huu bila ku practice. Elimu yetu ni theory zaidi na muda mfupi wa practical halisi. Hii nafasi ya kupeleka vijana nje ya nchi kwenye mazingira ya kilimo cha kisasa unamjengea kijana uwezo na uthubutu wa kuwa mkulima au mfugaji bora. Huwezi kuwa mkulima huku ukiogopa kuchafuka! (Yaani mtu anabeza kuosha mbuzi). Kilimo ni pamoja na kujua a-z ya kazi za kilimo/ ufugaji na hapo lazima hapo uweke vitabu chini uende na theory shambani na ukubali kushiriki kazi za shamba ili uzijue (bahati mbaya lazima uchafuke, unyeshewe na mvua, upigwe na jua nk)! Hapo ukimaliza degree yako utakuwa na confidence ya kuwa mkulima bora kwani ukiwa mkulima hayo ndiyo maisha ya kila siku. Kama hutaki kuchafuka zipo kozi nyingi mbadala Ila si kilimo/ufugaji. Kumbuka wanafunzi wengi wa SUA wanaenda Israel, Canada, Denmark nk na hawajaanza mwaka huu. Nijuavyo process ni ya wazi Ila competative. Jaribu kufanya utafiti uone asilimia kubwa ya wanafunzi wa kilimo,mifugo na misitu SUA (hata maprofesa) wanatokea pande zipi za
Tanzania. Nikiwa mdau wa Kilimo Nimeshuhudia wanufaika wa program hii wakifanya vizuri katika Nyanja za mifugo na kilimo, hawabahatishi wakiwa katika kazi yao. wanagawanya degree yao katikati. Wanasoma theory kwanza ,hapo kati wanaende nje “field” na wakirudi wanamalizia degree yao. Mtu aliyekaa mwaka mmoja na nusu au miwili kwenye specialized shamba nchini Israel au Canada anarudi na ujuzi na exposure kubwa sana kiasi akisaidiwa kidogo tu kujiajiri lazima afanikiwe. Hata mwajiri atamkimbilia na tija yake itakuwa ni kubwa. Kifo kinaweza kumkuta yeyote na popote . Vijana fungukeni na mjikomboe kwenye cheap discussions. Dunia ya sasa unahitaji kilimo chenye tija na si vijana wananyanyapaa kuosha mbuzi au kumkata pembe ng’ombe.
 
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Coordinator ni Bashe
 
Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆

Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Unamsingizia, alishastaafu huyo Temu alafu umeandika uongo wa hali ya juu.
 
Watu wa Arusha na moshi ndo watu wanaofika sana chuo kikuu maybe watafata watu wa mwanza na kanda ya ziwa maybe kwasabbu ya uwepo wa uwezo wa kusomesha watoto private schools maana hao ndio waliojaa vyuoni watoto wa kayumba wnaishia sana njiani. Mada ya kijinga hii mtoa mada huna akili hata kufanya tafiti binafsi ujui
Hajui Kaskazini na Ziwa ndiyo watu wanaongoza kusomesha watoto!
 
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Tulijua wanaenda kufanya manual work 'manamba' kwa mayahudi ila tumeona wakiwa wamevaa kijeshi na silaha. Hapa ndio wasiwasi unaongezeka. Je ni picha za kutengenezwa au za kweli? Tunajua mayahudi ni watu wa hila wabaguzi na wabinafsi sana. Jambo la kusikitisha ni kwa nini tanzania tumewaamini hao maharamia.
 
Raia wa Tanzania tu ndio wako Israeli? Haya maisha bila risk utakufa kama kenge mtoni usie na chochote duniani, hapa watu wana kufa kilasiku bodaboda tuna zika daliy, ulitaka vijana wakae kusubiri ajira bongo wawe bodaaboda au mawinga kariakoo?
Kanuni ni ile ile "get rich or die trying"
 
Mbona hata huku tunawatumikisha sana mashambani na migodini. Tembelea mbalali huko kwenye mashamba ya mipunga

Kama ni hvyo kuna shida gani wakiwa manamba huko Israel
Waafrika wakibaguana, wakiuana, wakitesana wao kwa wao wanaona sawa ila wafanyiwe ivyo na race nyingine sasa kelele kibao. Wakifanywa manamba kwenye mashamba au kampuni za wazungu kelele kibao wakati hayo tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe hapa hapa nchini nenda kaone vibarua wa viwandani kazi wanazofanya na malipo wanayopata nakwambia ni heri mtu akawe manamba wa mzungu
 
Bora Uwe manamba kwa, mzungu, popote duniani kuliko kwa mwafrika,
 
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Hivi huwa kuna uhusiano wa akili na dini? Hapo nimetoa mifano mochache ya wanafunzi toka mataifa ya Kenya, Rwanda na Ghana wanaokwenda kwa hiyo hiyo internship

Mkuu Michewen:

Unaziweza akili za Watanzania? Ni rahisi mno kuamini conspiracies, hata utafiti kidogo hawawezi, kwa kifupi ni wavivu kufikiri, kwa kifupi inasikitisha sana.
 
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?

Nawafahamu jamaa kutoka TISS wamekuwa wakienda huko kwa long na short term courses, na Balozi wa Tanzania Israel baada ya matukio vifo wa hao vijana wawili, alisema kuna Watanzania 360 Israel, na 9 tu ndio walikubali kurudi nyumbani, wengine waliona maeneo hawako katika maeneo hatarishi ya maisha yao.

Hivi unajua maana ya human trafficking? Au unaandika tu!
 
Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆

Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali

Hivi unajua TISS imekuwa ikipeleka Watanzania Israel ? hiyo TISS inayoiweka Serikali yako madarakani mafunzo yake yana misingi huko.....Utasemaje kwa hilo?
 
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?

Usiwe kipofu wewe.......Nchi nyingi za Kiafrika zinapeleka wanafunzi huko...

Kenyan students are in Israel​

  • 24.03.2022

  • icon_zoom.png

    1. Proud of the 11 months agriculture students training at AICAT (Arava International Center for Agricultural Training) as they represented Kenya at 𝐀𝐑𝐀𝐕𝐀 𝐎𝐩𝐞𝐧 𝐃𝐚𝐲 𝟐𝟎𝟐𝟐 - the largest agricultural exhibition in Israel!
    They electrified the audience with their cultural dance what a great performance! Thank for holding the Kenyan high!
 
Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆

Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Ziwe wazi ili waende wengi
 
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;

1. Nani anaratibu?

2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.

3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.

4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?

Kweli ujinga ni laana:

Kenyan Students With Impressive Project Win Sh1.1M in Israel​

By Martin Olage Fri, 06/16/2023 @ 05:15pm 353 views 2 comments

A team of Kenyan students has won a Sh 1.1 million grant after presenting a remarkable project at a competition in Israel.

According to a statement issued by Israel Embassy in Kenya on Friday, June 16, the Kenyan students participated in an 11-month program at Arava International Center for Agricultural Training (AICAT), a non-profit organisation located in the Arava desert in Israel. Their school project titled H20 Filtered Water for Agriculture, proposes solutions to various challenges facing farmers.

The Kenyan students won accolades for their superior performance compared to their Tanzanian counterparts, who were awarded Ksh840,600. The Tanzanian team presented a project that promoted Amaranthus farming in East Africa. The Arava International Center for Agricultural Training praised both the winners and encouraged them to utilize the skills they had gained in Israel to boost the agriculture industry in their respective nations.

The Dean Family Fellowship Grants, a program initiated by the Jewish National Fund-USA (JNF-USA) and the Dean family from Philadelphia, which funded the scholarships, also commended the victors. Following the signing of an agreement between Kenya and Israel by former President Uhuru Kenyatta in 2016, more than 440 students have been sent to the institution for an Advanced Diploma in Agriculture and Agribusiness. Of these, 200 were chosen from leading Universities in Kenya, including 50 from the University of Nairobi.

Israel is acclaimed for its irrigation-based farming practices which are aligned with technological advancements. Kenya is one of the countries that benefit from this, as the country receives fertilisers, chemicals, cereals, and farm machinery from Israel. On May 10, President Ruto met Israeli Prime Minister Netanyahu and they decided to eliminate any trade restrictions.

Angalia katika hizo Schorlaships na Watanzania walikuwemo!
 
Ukweli lazima usemwe ili mtu akifa msilete janja janja kutafuta huruma kwa watanzania wote kumbe ni nafasi kwa watu binafsi.

Kamsikilize yule mzee wa joshua utaelewa.
Hata bongo wanakufa kifo hakina dhamana,angalau familia itapata mafao
 
Back
Top Bottom