Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uwezo wa fikra hasi kwenye wachangiaji wengi humu sidhani kama wanajua degree ya kilimo/ mifugo inahusika na nini na hata kama SUGECO wakitoa maelezo hawawezi kuwaelewa.. Degree ya kilimo ni zaidi ya cheti na ni zaidi ya class ya degree yako. Lazima ujue a-z ya operations za kilimo/ufugaji na hakuna darasa linaloweza kukupa ujuzi huu bila ku practice. Elimu yetu ni theory zaidi na muda mfupi wa practical halisi. Hii nafasi ya kupeleka vijana nje ya nchi kwenye mazingira ya kilimo cha kisasa unamjengea kijana uwezo na uthubutu wa kuwa mkulima au mfugaji bora. Huwezi kuwa mkulima huku ukiogopa kuchafuka! (Yaani mtu anabeza kuosha mbuzi). Kilimo ni pamoja na kujua a-z ya kazi za kilimo/ ufugaji na hapo lazima hapo uweke vitabu chini uende na theory shambani na ukubali kushiriki kazi za shamba ili uzijue (bahati mbaya lazima uchafuke, unyeshewe na mvua, upigwe na jua nk)! Hapo ukimaliza degree yako utakuwa na confidence ya kuwa mkulima bora kwani ukiwa mkulima hayo ndiyo maisha ya kila siku. Kama hutaki kuchafuka zipo kozi nyingi mbadala Ila si kilimo/ufugaji. Kumbuka wanafunzi wengi wa SUA wanaenda Israel, Canada, Denmark nk na hawajaanza mwaka huu. Nijuavyo process ni ya wazi Ila competative. Jaribu kufanya utafiti uone asilimia kubwa ya wanafunzi wa kilimo,mifugo na misitu SUA (hata maprofesa) wanatokea pande zipi zaWe acha tu! Mengi yatajulikana. Eti wanasema tusichimbe, kwani hilo ni suala la Serikali.
Mitandao raha, Inachimbua mpaka habari za mafichoni.
Degree ya Kilimo- kwenda mashambani kuvuna mazao. Pazuri hapo! Mi sisemi.
Coordinator ni BasheHuu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Zanzibar kuna mashamba?Zanzibar imesahaulika fursa hizi?
Unamsingizia, alishastaafu huyo Temu alafu umeandika uongo wa hali ya juu.Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆
Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Hajui Kaskazini na Ziwa ndiyo watu wanaongoza kusomesha watoto!Watu wa Arusha na moshi ndo watu wanaofika sana chuo kikuu maybe watafata watu wa mwanza na kanda ya ziwa maybe kwasabbu ya uwepo wa uwezo wa kusomesha watoto private schools maana hao ndio waliojaa vyuoni watoto wa kayumba wnaishia sana njiani. Mada ya kijinga hii mtoa mada huna akili hata kufanya tafiti binafsi ujui
Muhimu wanalipwaMbona hata huku tunawatumikisha sana mashambani na migodini. Tembelea mbalali huko kwenye mashamba ya mipunga
Kama ni hvyo kuna shida gani wakiwa manamba huko Israel
Jinga kabisa hilo jamaa.Unapata fahari gani kudanganya? Ushawahi fika SUA? Ushawahi skia SUGECO?
Tulijua wanaenda kufanya manual work 'manamba' kwa mayahudi ila tumeona wakiwa wamevaa kijeshi na silaha. Hapa ndio wasiwasi unaongezeka. Je ni picha za kutengenezwa au za kweli? Tunajua mayahudi ni watu wa hila wabaguzi na wabinafsi sana. Jambo la kusikitisha ni kwa nini tanzania tumewaamini hao maharamia.Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Kanuni ni ile ile "get rich or die trying"Raia wa Tanzania tu ndio wako Israeli? Haya maisha bila risk utakufa kama kenge mtoni usie na chochote duniani, hapa watu wana kufa kilasiku bodaboda tuna zika daliy, ulitaka vijana wakae kusubiri ajira bongo wawe bodaaboda au mawinga kariakoo?
Tangu ugongewe mke na Mangi umekuwa na chuki sana wee kocho. Tafuta mwanamke mwingine.Hamas piga huyo Joshua , na wengine wote waliotokea Kanda ile
Waafrika wakibaguana, wakiuana, wakitesana wao kwa wao wanaona sawa ila wafanyiwe ivyo na race nyingine sasa kelele kibao. Wakifanywa manamba kwenye mashamba au kampuni za wazungu kelele kibao wakati hayo tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe hapa hapa nchini nenda kaone vibarua wa viwandani kazi wanazofanya na malipo wanayopata nakwambia ni heri mtu akawe manamba wa mzunguMbona hata huku tunawatumikisha sana mashambani na migodini. Tembelea mbalali huko kwenye mashamba ya mipunga
Kama ni hvyo kuna shida gani wakiwa manamba huko Israel
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Hivi huwa kuna uhusiano wa akili na dini? Hapo nimetoa mifano mochache ya wanafunzi toka mataifa ya Kenya, Rwanda na Ghana wanaokwenda kwa hiyo hiyo internship
60 Students Flagged off for an 11-months Internship Program in Israel | Dean of Students Office
The University on Tuesday August 1, 2023 flagged off 60 students set to travel to the Arava region in Israel. The flagging of was held after a thorough pre-departure training for the students. Sixty (60) students from the University of Nairobi have been admitted to the AICAT program for the...studentlife.uonbi.ac.ke
![]()
MoFA to send 200 Ghanaian Agriculture students to Israel for internship | Ghana News Agency
By Stanley Senya Accra, Sept. 19, GNA – The Ministry of Food and Agriculture (MoFA), in collaboration with the Israeli Embassy has screened and selected 200 students from Ghanaian colleges and universities to…gna.org.gh
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆
Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Ziwe wazi ili waende wengiDalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma 😆😆
Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Hata bongo wanakufa kifo hakina dhamana,angalau familia itapata mafaoUkweli lazima usemwe ili mtu akifa msilete janja janja kutafuta huruma kwa watanzania wote kumbe ni nafasi kwa watu binafsi.
Kamsikilize yule mzee wa joshua utaelewa.