Interview Rais Samia na Azam TV, azungumzia safari, Urais, Mikopo ya Miradi ya Magufuli, Ripoti ya CAG

Anamaanisha haikuwa msaada wenye masharti sababu ni mkopo unaotakiwa kulipwa.
 
Kazi za mabalozi nini?
 
Heee😳😳 kumbe hazikua fedha za ndani? Yaan sisi walinda legacy tunaonewa mnoo aisee!!!😭😭😭😭
 
Kwanini Asitumie Muda Wake Kufanya Mambo Ambayo Yake Mbele Yake Muda Mwingi Anatumia Kuongea Mambo Yalio Pita.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani yeye kuna mradi ametekeleza nchii bila mikopo?

Tusisahau juzi tu ametoka kujenga madarasa ya Covid kwa mkopo wa beki ya Dunia.
Yeye yuko wazi tunatekeleza kwa mikopo full stop.. Sio tulidanganywa tutembee kifua mbele eti tunajenga kwa pesa zetu z a ndani kumbe ni mikopo.. Je umeelewa sasa?
 
amezungumzia miradi mikubwa ambayo ilikuwa ikitekelezwa wakati wa utawala wa Hayati John Magufuli kwa kueleza kuwa alikuwa akiijua lakini changamoto ni kwa kuwa ilikuwa ikiendeshwa kwa fedha za mikopo.
Kwamba miradi hiyo ilikuwa ikitendeshwa kwa fedha za mikopo. Awali tuliambiwa kuwa fedha iliyotumika ni toka hapa ndani ya nchi. Sasa tunaambiwa vinginevyo. Ama kweli wanasiasa si hasa.
 
Kwanini Asitumie Muda Wake Kufanya Mambo Ambayo Yake Mbele Yake Muda Mwingi Anatumia Kuongea Mambo Yalio Pita.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ni kwasababu sisi raia , tunatafuta mlinganyo , huku tukishambulia kila anachokifanya Mama, tukisema hakikufanyika awamu iliyopita na maisha yalikuwa poa.

Na kwakua Mama nae sio mkaa kimya sana, anaamua kuumwaga ukweli, ili tusikie , ingawa haisaidii.
 
Wote waliokuwa wanasema Magufuli alikuwa anadanganya wameaibika Sana.
 
Yeye yuko wazi tunatekeleza kwa mikopo full stop.. Sio tulidanganywa tutembee kifua mbele eti tunajenga kwa pesa zetu z a ndani kumbe ni mikopo.. Je umeelewa sasa?
Shida ya mama, usishangae kesho akisema tofauti. Siku chache zilizopita alisema tumeondolewa uchumi wa Kati, Leo anasema bado tupo.
 
Heee[emoji15][emoji15] kumbe hazikua fedha za ndani? Yaan sisi walinda legacy tunaonewa mnoo aisee!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mbumbu ukikopa ni hela zako maana utarudisha ndo maana ya pesa yetu kweli ukiwa kiroboto ni shida
 
Amesemaje kuhusu CAG Report mkuu?
 
hivi kweli mijianaume na midevu yetu tumekaa mwanamke ndiye anaenda kututafutia ?

vya kutafuta ni vingi na mama hajaweka wazi anaenda kutafuta nini sisi tukae tukenue meno tu ataleta
 
Mbumbu ukikopa ni hela zako maana utarudisha ndo maana ya pesa yetu kweli ukiwa kiroboto ni shida
Sometimes ukijifanya unajua on the other side hujui kama hujui ni kitu kibaya san! Tuliambiwa miradi inayoendelea inaendeshwa kwa pesa za ndani!! Hapo ni Kiswahili lkn bado unahitaj tafsir ili uelewa ama unakaza tu fuvu hapa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…